Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

Hahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!
hahaaaaa live for something or die for nothing .....tuachie maisha Yetu aiseeeee"" hahaa
 
Hata mimi utajiri huo wa mkataba ninautaka sana hata nikiishi mitano inanitosha maana nitakuwa nimeshasumbua raia
hahahaa wewe mwenzangu aiseeee.....maish ya miaka mingi ya dhiki ya kazi gani sasa ...wakati kuna kufa ..pumbafu
 
Daaa....kwa hiyo saaizi atakaye rithi naye atafia Moro kwa ajali na ukitajwa kurithi hamna kukataa.....
hahaaaa...yaani kama ndio mimi nakomba baadhi ya Pesa ..na chukua passport then breki ya kwanza UK
 
Huyu kijana nikimuangalia ni lazima alikuwa mwendo kasi kabisa...
Tbway ana cha kujifunza kwenye hili asipobadilika tutamuanzishia uzi......
Japo hii ajali ya huyu ina maswali maana ina fanana kabisa na ya kaka yake...
 
hahah...huyo jamaa mbona ni wa mda sana..yule alikuwa anasema daslam mojaaaaa..haina mpambe..mark x hiyo...bams nalegeza kidogo...inapanda hiyo mshale uko kwenye 180 mbele haiend ..hahaha...magari haya noma sana
daaaghh hyo alikuwa na beef namtoa roho aiseee
 
Hahahaha hii niliiskiaga aisee, hivi ni kweli inakuwaga hivyo, aisee bora niwe maskini ila niishi full length of my life. Kuuwawa na majini sio kabisa aisee!
hahaaaaaa aiseeee """ maisha ya dhik sio mkuu"" acha tupate Pesa tu "" kwani tunaishi bila Pesa iliiweje ..mataifa makubwa yenyew yanapigana vita na kusbabisha uhasama kusufi wpate Pesa ....acha kabisaaa
 
Wabongo tumezidi ujinga, eti wanakufa kila mwaka...hiyo familia wapo wangapi na mpaka sasa wameshakufa wangapi?

Na hakuna pesa za uganga/masharti, ina maana kuna mfumo mwingine wa pesa tofauti na mfumo unaosimamiwa na benki kuu ya taifa? na hayo masharti yanakupa pesa kiasi gani? maana basi Wenye pesa wote ulimwengu huu wangekuja huku.

Duniani kuna pesa za aina mbili tu, pesa halali na pesa haramu...kuna wale wanaopata pesa kwa ubunifu/juhudi zao za kazi..na wapo wanaopata pesa kwa kudhulumu Wenzao, kuiba, kuuza bidhaa haramu kama dawa za kulevya, kutapeli wengine n.k.

Ndio maana Waganga na Mapasta feki wanatumia ujinga uliotujaa vichwani kutuambia wanaweza kutusaidia tupate pesa, ili hali yeye tunamkabidhi pesa halisi tulizozitolea jasho, nae ndio akanunue Vogue aje kuwatambia nalo.

Kama tukio linashabihiana na lililomkuta ndugu yake sidhani kama ni hali ngeni saana kutokea dunia hii, hata yule binti wa Whitney Huston alikutwa na umauti kwa njia ile ile kama iliyomkuta Mama yake.

Hebu Wabongo tuache ndoto za mchana na imani za kijinga.
Umeongea jambo la msingi sana,lkn kwa uvivu wa wa Tz wakufikiri watakubishia hadi kesho,cha msingi wapika majungu,nikuwaacha waamini vile wanavyoamini,huwezi kuwabadilisha haraka kitu walicholishwa,na kuaminishwa toka wakiwa matumboni mwa mama zao
 
hahaaaaaa aiseeee """ maisha ya dhik sio mkuu"" acha tupate Pesa tu "" kwani tunaishi bila Pesa iliiweje ..mataifa makubwa yenyew yanapigana vita na kusbabisha uhasama kusufi wpate Pesa ....acha kabisaaa
Kama ni rahisi hivyo kajisajili tu iringa hapo upige hela kisha upige mbung'a nang'ado!
 
Back
Top Bottom