TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,286
Mkuu hebu toa kwanza hiyo picha ya hamorapa ili uelimishwe,siungi mkono kuitumia bila kumlipa,jamaa sasa ni mtu mkubwa.
Tayari mkuu
Mkuu hebu toa kwanza hiyo picha ya hamorapa ili uelimishwe,siungi mkono kuitumia bila kumlipa,jamaa sasa ni mtu mkubwa.
Hahaa,umetisha mkuuTayari mkuu
Uzuri nakufahamu vizuri so hunipi tabu
This is unethical. Those captured in the grave digging photo remembers you quet well. Keep on celebrating. Will contunue to accuse you.Unayaogopa makaburi au Basi tu umeamua tu kuropoka? Ningeonyesha picha ya marehemu ungeeza sema chchte. Hapo umeamua nawe uchangie tu.
Unafikiri majonzi yanaondolew kwa kutokuliona kaburi? Basi tuzikaneni nyumbani. Acha ushamba ww
elimu ipi mkuu sijakupata ?Lazima kunashida kubwa kwenye mfumo wetu wa Elimu!
Hiyo ajali nimeiona leo mchana kwakweli pale hajatoka mtu, maana hata hiyo fuso imechakaa kabisa pale mbele
Mkuu umeandika lugha gani hapo? Sijaelewa kabisa. Kwann usingeandika kiswahili tuThis is unethical. Those captured in the grave digging photo remembers you quet well. Keep on celebrating. Will contunue to accuse you.
Eeeheeheh ana Bahati huyo kibongeWalikua watatu kwenye gari, Kizito na demu wake wamekufa ila jamaa wa tatu katoka mzima kabisa. Kalazwa hospitali kwa mshtuko tu.
Jamaa aliepona kwenye ajali hyo hii inakua ni ajali yake ya nne kuipata tena mbaya kama hyo hyo wengine wanakufa na yeye anapona kama ilivyokua kwa hii. Anajulikana kwa jina maarufu kama bonge
Daaah!! Mungu amlaze mahala Pema mrembo.Huyu ndiye bibie aliye kuwa nae kwenye gari
Basilisha hii rangi inaumiza machoPoleni wafiwa RIP.
BTW hii issue ya ajali imeongelewa sana hapa JF, na niliwahi kusema katika karne hii ambayo magari mengi yanatengenezwa kwa ajili ya motorways za nchi zilizo endelea na sisi ni kufuata upepo tu. Hatuna njia mbadala ya kuwapa licence madereva wetu Tanzania. Asilimia kubwa wanaendesha wakati wamekunywa pombe au wamevuta bangi achilia mbali madawa ya kulevya. Vile vile hakuna ukaguzi unaokidhi wa magari kuwa salama barabarani. Lazima kila gari liwe checked kila mwaka kuona kwamba linakidhi kuwa salama barabarani.
Mtu anasababisha ajali na watu kufa lakini baada ya siku mbili tatu bado anaruhusiwa kuendesha gari. Hadi pale Watanzania watakapoamua na kusema sasa basi ajali haziwezi kwisha. Ni wakati wa kuweka sheria kali za usalama barabarani pamoja na speed cameras kuwabana madereva wakorofi. Ni matumaini yangu serikali ya JPM itatoa mwelekeo kwenye swala hili la nidhamu barabarani.
BTW madereva wengi Tanzania hawafahamu alama za barabarani.
Ukisafiri na Bonge jiandae kurest in pieces mara nne!Bonge anataka kufanana na Akon ambaye wasanii kadhaa aliofanya nao kolabo wakafa...mf Mj na whitney.
Humu kuna majibu! balaaAkili ndogo!
Hivi siku hizi malaika wanapanda nagari?
Duh, haya kweli ni maajabu ya Mungu! Alafu kitu kinguine ninachoshangaa ni kiwango cha uharibifu wa gari lakini plate number inabaki kama vile inatoka car wash! Hii imekaaje wajuzi wa mambo?Walikua watatu kwenye gari, Kizito na demu wake wamekufa ila jamaa wa tatu katoka mzima kabisa. Kalazwa hospitali kwa mshtuko tu.
Jamaa aliepona kwenye ajali hyo hii inakua ni ajali yake ya nne kuipata tena mbaya kama hyo hyo wengine wanakufa na yeye anapona kama ilivyokua kwa hii. Anajulikana kwa jina maarufu kama bonge