Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

Hizi gari za m-japani ni shidaaa..
Kuna mtu alileta uzi humu kuhusu uimara mdogo wa gari za m-japani....wapo waliomtolea povu kweli
Sasa kwa mzinga huo unafikiria hata ungekuwa kwenye benz ungepona. Ajali ni kitu kingine mkuu, na hizo porojo za kudanganyana kuwa sijui gari flani lipo safe flani sio safe kwenye ajali ni ama kupona ama kifo!

Kwa uhalisia gari iliopo safe ni kifaru tu mzee ingawa hakinaga airbag. Kama unaweza nunua maana ni chuma tupu na hakiwaki moto!
 
Ila Toyota inabidi wajiangalie...haiwezekani gari liwe nyanya namna hiyo.

Uko sahihi, cheap inatumaliza. Maana kama mtu angekuwa na Audi, Porsche, Marcedes, au Jeep, Lincoln, VW, Cardillac au make nyingine za Ulaya au US huwezi kuikuta hivo. Na ukweli ni kwamba Toyota karibu zote ikiwa kwenye speed kali inakuwa nyepesi na inayumba sana, stability barabarani inapungua. Lakini hayo ndiyo tunayomudu. Na wakati mwingine hata wenye uwezo wa kununua magari mazuri zaidi ya Toyota wanapumbazwa na mawazo ya spea n.k. Lakin honestly baada ya kutumia magari ya Ulaya nimejifunza sana kuwa Toyota wanatuua kwa sbb gari zao siyo stable hata kidogo

ww unajua kishindo
Ha ha haaaa, pale kapavunja upande wa ule ukumbi wa makuti na ile VIP ,badala yake alijenga ukumbi wa kisasa kwa upande wa kulia mwa lodge yake,Bahati mbaya ndo alikua anafuata finishing materials dar na uhai ukaishia hapo.


Chakukufurahisha hapo kipi, kuna watu waajabu sijapata ona.badala ya masikitiko unaaza na kicheko kesho yako mwenyewe Huijui.
 
Back
Top Bottom