Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

...gari za kijapani zinavibrate uki engage ABS kwa kuwa ni nyepesi ukilinganisha na hizo models za europe kama BMW...Merc...n.k...hiyo ndio tofauti..lakini ABS zote zinafanya kazi sawa...nakwambia hivyo kwa kuwa mimi sasa nasukuma Merc Impressor...na kabla nilikuwa na Toyota (markX)...so i have enough comparative analysis of how anti skid-breaking system (ABS) works...
Inawezekana huna attention to details. Huwezi kufananisha brakes za mercedes na mark X achilia mbali ABS.

Nazijua weakness za Toyota brakes inside out, najua weakness ya handling ya Toyota inside out. Nikitoka kwenye Euro make nikiingia kwenye Toyota kuna mwendo nikifika nahesabu sina brake.

Chukua hio Mark X iendeshe mpaka 120kph halafu fanya heavy braking, do the same kwenyw Mercedes ukioona hamna tofauti una matatizo.
 
Kwani kusema mtu anamjua mtu au ni rafiki yake Kuna tatizo gani? Au unachukia watu kumfahamu jamaa.?

Kua na mademu kwa mwamaume rijali mbona kawaida sana mkuu na sijaona wapi kadhihakiwa na mtu yyte. Mtu unaandika kile anachofahamu dhidi ya jamaa na Si vinginevyo na sijaona aliemsema kwa mabaya

Kumbe message imekuwa sent and delivered pale ilipotakiwa iende? Safi sana.
 
Daaah!!!! Unaambiwa hajatoka hata na mchubuko wa toothpick...kalazwa kwa mshtuko tu. Ama kweli kuwa uyaone ya walimwengu. Huyu bwana Bonge sio lift tu mkuu, inatakiwa akipanda hata basi la Abiria ashushwe asubiri yale magari ya kubeba vifusi.

hahaha, na aendeshe mwenyewe akaliache uko aendako tutalifuata.
 
..ambaye Hana attention na detail mimi au wewe usiyejua kwanini kuna tofauti ya breaking Kati ya euro made na Japanese made japo zote zinatumia ABS?...mimi ninayejua sababu nimekwambia tofauti iko kwenye uzito wa magari...wewe usiyejua unasema kuna tofauti lakini hujui kwanini...na kwanini unanishauri nifanye heavy breaking kwenye 120kph...are you really serious??unategemea nini ukifanya hivyo...I mean unataka kupima nini..wakati you can just feel the difference bila kuwa kwenye hiyo speed...BTW unajua kweli wewe gari kwenye 120kph inakuwaje kabla hujafanya heavy breaking???...are you kidding!

Inawezekana huna attention to details. Huwezi kufananisha brakes za mercedes na mark X achilia mbali ABS.

Nazijua weakness za Toyota brakes inside out, najua weakness ya handling ya Toyota inside out. Nikitoka kwenye Euro make nikiingia kwenye Toyota kuna mwendo nikifika nahesabu sina brake.

Chukua hio Mark X iendeshe mpaka 120kph halafu fanya heavy braking, do the same kwenyw Mercedes ukioona hamna tofauti una matatizo.
 
Ni kweli mkuu, ni rafiki yangu na sasa nimeshafika nyumbani kwake Makambako na msiba ushawekwa tangu asbh.

Alitoka Jana majira ya saa Tisa kuelekea mafinga ambapo alishuhudia timu ya Njombe mji ikicheza na kupanda daraja na hatimae baada ya mechi aliwasha gari yake aina ya Lexus,black in colour kuelekea jijini Dar kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya ujenzi wa ukumbi anaoujenga Jiran na stand mpya mjini Makambako.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.

R.I.P Kizito
Hyo ni harrier mkuu nampata na gar zake nazpata, kwel hyo gar anayo bt co alopat nay ajal picha pia zinajieleza mkuu
 
Mbona mnakuwa wakali kwa vitu msivyojua? Hio ni toyota harrier as its for japanese market. For USA and EURO markets ni LEXUS RX300 au RX350.
Na ina nembo ya LEXUS hapo nyuma na si nembo ya ordinary toyota.

Ingine ni toyota altezza, USA na EURO markets ni LEXUS IS200.

Hakuna 'harrier lexus'

NB:Lexus ni luxury vehicle brand ya Toyota.
Anazngua huyu, jamaa hzo gar mbil zot zake
 
Ajali ya Kizito haihusiani chochote na mke wa mtu. Mke wake alifariki mwaka jana na mtoto Mchanga, huyo aliekua nae ni msichana ambae kwasasa kazaa nae baada ya kufariki mkewe.

Ajali hii haihusiani chochote na ushirikina, ni ajali kama nyingine tu
Hii itakuwa punje za mahindi tu believe me
 
Duuh, huenda kweli nikawa mpuuzi na ntaendlea kua mpuuzi Mara elfu moja endapo ntaendelea kubishana na ww.

Nimesema jamaa anafahamika kwa jina maarufu kama bonge, sasa unasema bonge Makambako ni Mwendamseke pekee,Upo sawa kweli kichwani mkuu?
Bora ya hayo, kujadili na mtu mnafiki na mshirikina kama wewe ni kujidharirisha!
 
Ndiyo mkuu mm mshirikina, unataka nkufundishe mbinu?

Mm siyo mkazi wa Makambako, ila ninaifahamu Makambako na Nina rafiki wengi Makambako. Mm siyo mkinga wala mbena, nawafaham jamaa vzr kwasababu ni business partners wangu.

Mtu mzima siyo kila jambo hufundishwa ,mengine wayaona kwa macho tu nakuyaelewa.
Jiulize yafuatayo....

Ushawahi Ona wapi tajiri mwenye Japo uwezo wa million zaidi ya mia 5 tu anatembelea baiskeli kutwa nzima?

Ushaona wapi kijana mpiga debe unungo kwa miaka miwili au mitatu na mwaka wa nne akamiliki tandam zaid ya tano na Costa Si chini ya kumi?

Ushaona wapi mtu anaamkia bar asbh hadi jioni Lakini ana hela za kuzidi?

Ushawahi Ona wapi mtu anaeza kiduka cha vyombo vya plastic kwenye chumba kisichozid sq mita 4 Lakini ana utajir wa zaid ya 200m?

Anyways, hapa tutaza server bure ,ngoja siku tutaanzisha Uzi wa kuwachambua watu wa kanda hii
Lazima kunashida kubwa kwenye mfumo wetu wa Elimu!
 
Walikua watatu kwenye gari, Kizito na demu wake wamekufa ila jamaa wa tatu katoka mzima kabisa. Kalazwa hospitali kwa mshtuko tu.

Jamaa aliepona kwenye ajali hyo hii inakua ni ajali yake ya nne kuipata tena mbaya kama hyo hyo wengine wanakufa na yeye anapona kama ilivyokua kwa hii. Anajulikana kwa jina maarufu kama bonge
dah,, huyo bonge mbona hatar
 
Back
Top Bottom