Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

Mmh jamani mungu atunusuru na hizi ajali,.... Pole kwa familia za marehemu
 
Unayaogopa makaburi au Basi tu umeamua tu kuropoka? Ningeonyesha picha ya marehemu ungeeza sema chchte. Hapo umeamua nawe uchangie tu.

Unafikiri majonzi yanaondolew kwa kutokuliona kaburi? Basi tuzikaneni nyumbani. Acha ushamba ww
This is unethical. Those captured in the grave digging photo remembers you quet well. Keep on celebrating. Will contunue to accuse you.
 
Huyu ndiye bibie aliye kuwa nae kwenye gari
16832205_756494001165888_1182240242157574896_n.jpg
 
Walikua watatu kwenye gari, Kizito na demu wake wamekufa ila jamaa wa tatu katoka mzima kabisa. Kalazwa hospitali kwa mshtuko tu.

Jamaa aliepona kwenye ajali hyo hii inakua ni ajali yake ya nne kuipata tena mbaya kama hyo hyo wengine wanakufa na yeye anapona kama ilivyokua kwa hii. Anajulikana kwa jina maarufu kama bonge
Eeeheeheh ana Bahati huyo kibonge
 
Poleni wafiwa RIP.

BTW hii issue ya ajali imeongelewa sana hapa JF, na niliwahi kusema katika karne hii ambayo magari mengi yanatengenezwa kwa ajili ya motorways za nchi zilizo endelea na sisi ni kufuata upepo tu. Hatuna njia mbadala ya kuwapa licence madereva wetu Tanzania. Asilimia kubwa wanaendesha wakati wamekunywa pombe au wamevuta bangi achilia mbali madawa ya kulevya. Vile vile hakuna ukaguzi unaokidhi wa magari kuwa salama barabarani. Lazima kila gari liwe checked kila mwaka kuona kwamba linakidhi kuwa salama barabarani.

Mtu anasababisha ajali na watu kufa lakini baada ya siku mbili tatu bado anaruhusiwa kuendesha gari. Hadi pale Watanzania watakapoamua na kusema sasa basi ajali haziwezi kwisha. Ni wakati wa kuweka sheria kali za usalama barabarani pamoja na speed cameras kuwabana madereva wakorofi. Ni matumaini yangu serikali ya JPM itatoa mwelekeo kwenye swala hili la nidhamu barabarani.

BTW madereva wengi Tanzania hawafahamu alama za barabarani.
Basilisha hii rangi inaumiza macho
 
Walikua watatu kwenye gari, Kizito na demu wake wamekufa ila jamaa wa tatu katoka mzima kabisa. Kalazwa hospitali kwa mshtuko tu.

Jamaa aliepona kwenye ajali hyo hii inakua ni ajali yake ya nne kuipata tena mbaya kama hyo hyo wengine wanakufa na yeye anapona kama ilivyokua kwa hii. Anajulikana kwa jina maarufu kama bonge
Duh, haya kweli ni maajabu ya Mungu! Alafu kitu kinguine ninachoshangaa ni kiwango cha uharibifu wa gari lakini plate number inabaki kama vile inatoka car wash! Hii imekaaje wajuzi wa mambo?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom