Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

Eng Nyahucho

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
688
1,152
Nasikia kuna ajali mbaya Morogoro mmiliki wa Villa Park hotel ya Makambako amekufa papo hapo na mpenzi wake ambaye hajajulikana kutokana na mwili wake kusagika, ajali imetokewa usiku usiku wa leo saa nane.
6af31c8fadc59e49d684ce70a642005c.jpg
fc35f0df3d23a9428ea06f04237380e1.jpg
d47e812e8059fc025f4878642d7228e2.jpg

Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?

=======


Mmiliki wa kiota cha Villa Park cha mjini Makambako, Kizito, amepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya gari iliyotokea Jumapili usiku.

5907b7b2-24b9-4528-ae44-b425d54e7cca.jpg

Gari ya Kizito baada ya kupata ajali

Ajali hiyo inadaiwa kutokea Morogoro. Inasemekana alikuwa na mpenzi wake ambaye kutokana na mwili wake kusagika vibaya alishindwa kufahamika mara moja.

d70a4aac-6254-423a-906c-c74a9caefd3f.jpg


Kizito alikuwa akitoka kwenye mechi ya mpira kati ya Njombe na Kurugenzi na ajali ilitokea saa nane usiku.

94575cec-f8d5-4b1c-99c4-994f7e45ad22.jpg

Kizito enzi za uhai wake akiwa amesimama pembeni ya gari yake Toyota Harrier iliyopata ajali
 
Picha inaonyesha gari imeisha sana, inaonyesha ajali ilikuwa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom