Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

Kifo bwana.utahangaika wee duniani.ukifa kila kitu unakiacha.unazikwa wewe kama wewe tu.kama una mali zako wengine ndio wanarithi kiulaini.kama hiyo jamaa hiyo jamaa mke, mtoto wote wamefariki na yeye pia.
Ulikuja tupu utarudi tupu mama
 
Nlkuw msiban kumbe hyo fuso ndo chanzo, ilitaka kutekwa maan ilibeba mabat na bajaj so dereva akajiongeza kuwa aunge hvohvo ndo gar ikapoteza mwelkeo na kukutana na hio harrier, hyo fuso kapona dereva tu aisee
 
Dereva alijiiongeza aunge hivyo hivyo kivipi mkuu!? Toa maelezo vizuri. Maana inaonekana hiyo Harrier iligongwa ubavuni upande wa kulia. Kama nimeyaelewa vizuri maelezo yako ina maana kuna uwezekano huyo dereva wa Fuso alikuwa na makosa na kusababisha Vifo vya watu.
 
Yah yan dereva kazuia kutekwa kwa gar yake ndo akaona apite hvohvo kweny mawe hapo gar ikapoteza mwelkeo na kwenda kumparua jamaa, sas hapa inamaan dereva aliigonga ubavun nazan
 
Inasikitisha sana. Asante kwa maelezo mkuu. Nafikiri elimu inatakiwa kwa hawa madereva wa magari ya mizigo. Mali huwa inatafutwa na kupatikana...ila maisha ya watu hayana mbadala. Kwa sababu ukitafakari kwa umakini hapo Ina maana kuna watu kadhaa walikuwa wanamtegemea Marehemu Kizito,achilia mbali ndugu...jamaa na marafiki maisha yao yamebadilika ghafla na hatma yao iko njia panda.
 
Hapo me cmlaum dereva mkuu, kakuta mawe njian maan kuwa hapo akisimama kuna kuporwa mali au kuuawa na majambaz so akaona bora niunge tu ndo alvopanda yale mawe akapoteza mwelkeo na nd likatokea hlo gar, bt kiukwel jamaa n maaruf maan mcban gar kibao zaid ya mia zen watu kibao
 
Yaani uwapo barabarani hakika hua ni Mungu tu ndio hua anatulinda; unaweza ukaendesha kwa tahadhari zote lakini mwehu mmoja akaja kukusababishia matatizo and may be hata KUFA kama ilivyo mtokea mmiliki huyu wa Harrier. Poleni wafiwa, poleni wana Makambako.
 
Hapo me cmlaum dereva mkuu, kakuta mawe njian maan kuwa hapo akisimama kuna kuporwa mali au kuuawa na majambaz so akaona bora niunge tu ndo alvopanda yale mawe akapoteza mwelkeo na nd likatokea hlo gar, bt kiukwel jamaa n maaruf maan mcban gar kibao zaid ya mia zen watu kibao
Sijamlaumu Dereva mkuu, pointi yangu nilipozungumzia suala la madereva wa magari ya mizigo kupata elimu ni kwamba; hiyo ajali inasemekana imetokea saa nane za usiku...kwa kujitambua kawaida tu Kama Dereva umepakia mzigo wa thamani na njia unayopita nyakati za usiku si salama kwa nini usipaki sehemu salama ukasubiri alfajiri ili uendelee na safari!?

Maana sehemu hatarishi kwenye barabara nyingi za Tanzania huwa zinajulikana. Tatizo Watanzania tumezoea sana kufanya mambo kwa mazoea bila kuwa makini na kuchukua tahadhari. Mzigo wa mabati na Bajaj umechukua Uhai wa watu na kusababisha tafrani katika jamii.
 
Naomba contact za huyo mtaalam wa punje mkuu,maisha yenyewe mtihani haya,ngoja nimiliki bomberdier hata kwa miezi sita tu
Mkuu ukishapatiwa namba za mtaalam utanitumia na mie,mi niitamani sana drim laina hata nikiitumia kwa mwaka poa tu
 
Sijamlaumu Dereva mkuu, pointi yangu nilipozungumzia suala la madereva wa magari ya mizigo kupata elimu ni kwamba; hiyo ajali inasemekana imetokea saa nane za usiku...kwa kujitambua kawaida tu Kama Dereva umepakia mzigo wa thamani na njia unayopita nyakati za usiku si salama kwa nini usipaki sehemu salama ukasubiri alfajiri ili uendelee na safari!?

Maana sehemu hatarishi kwenye barabara nyingi za Tanzania huwa zinajulikana. Tatizo Watanzania tumezoea sana kufanya mambo kwa mazoea bila kuwa makini na kuchukua tahadhari. Mzigo wa mabati na Bajaj umechukua Uhai wa watu na kusababisha tafrani katika jamii.
Dah... Nikiona andishi kama hili huwa najiuliza sana sipati majibu
 
Sijamlaumu Dereva mkuu, pointi yangu nilipozungumzia suala la madereva wa magari ya mizigo kupata elimu ni kwamba; hiyo ajali inasemekana imetokea saa nane za usiku...kwa kujitambua kawaida tu Kama Dereva umepakia mzigo wa thamani na njia unayopita nyakati za usiku si salama kwa nini usipaki sehemu salama ukasubiri alfajiri ili uendelee na safari!?

Maana sehemu hatarishi kwenye barabara nyingi za Tanzania huwa zinajulikana. Tatizo Watanzania tumezoea sana kufanya mambo kwa mazoea bila kuwa makini na kuchukua tahadhari. Mzigo wa mabati na Bajaj umechukua Uhai wa watu na kusababisha tafrani katika jamii.
magari ya mizigo safari zao ni za usiku, mabasi mchana....wakulaumiwa ni huyo mwenye gari dogo mkuu
 
Inasikitisha sana. Asante kwa maelezo mkuu. Nafikiri elimu inatakiwa kwa hawa madereva wa magari ya mizigo. Mali huwa inatafutwa na kupatikana...ila maisha ya watu hayana mbadala. Kwa sababu ukitafakari kwa umakini hapo Ina maana kuna watu kadhaa walikuwa wanamtegemea Marehemu Kizito,achilia mbali ndugu...jamaa na marafiki maisha yao yamebadilika ghafla na hatma yao iko njia panda.
waliokuwa wanamtegemea ni wengi ndugu jamaa na wafanyakazi wake kasababisha mzigo mkubwa kwa familia nyingi
 
Back
Top Bottom