mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Mi jana tu nilikuwa kwene mwendo mdogo na kipaso changu...hamadi naona boda kaja kusimama mbeleangu anamwangalia abilia mdada upande wa pili wa barabara....unajua...kucheka unataman unashindwa unapata hasira lakin unashindwa ufanyeje nikasimama na kumwangalia tu alipojishtukia yupo seemu sio akaondoka mwenyewe. Hii sijui ni bangi, viroba au nini sijui.Mimi juzi nilienda kununua mbuzi vingunguti kwaajl ya eid muda wa kurudi nilichukua bajaji ase jamaa alikuwa anachomeka tu mataa hafuatishi ,road 2 zote zake na mabalaa mengi alifanya
Ajali ishatokea lkn kwa uoni wangu bajaji atakuwa na makosa ,hawa jamaa akili zao zinafanana ,
R.I.p jembe