ELI-91
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 3,583
- 9,681
dereva mzuri anatakiwa kujua kua kuna watumiaji wengine wa barabara na wanaweza fanya makosa yatayo sababisha ajari. hivyo ni wajibu wa kila dereva kujilinda yeye na watumiaji wengine wa barabara hata kama wao ndio wenye makosa. dereva makini huwezi gonga tu wengine eti kwakua wao ndio wanamakosa. ukifanya hivyo basi ujue haufai kuendesha chombo cha moto.