Ajali mbaya yaua Ubungo njia panda

Ajali mbaya yaua Ubungo njia panda

Seem ingine hatari ni njiapanda sheklango. Taa za kuruhusu gar kutoka manzes kwenda sinza zinawaka muda mfupi sana wkt seemu yenyewe ina watumiaj weng hasa hao boda/bajaj.
Kwa hiyo kama tatizo ni taa basi wajiendee tuu bila kufuata sheria mkuu
 
Kilichoniuma mnooo ni kwamba ndio bajaji yaweza ikawa ana makosa ila kibinadam kumburuta mtu vile lami na kumchuna ukicheck umetoka njia panda na brake unazo kwann usipunguze tu mwendo. Daah, sio poa kabsa.
Kaoloa roho nyingi zilizokuwa ndani ya basi
 
Mnalalamika sana
Magari ya mwendo kasi yanabeba watu wengi sana kufunga breki kwa ghafla kutasababisha maafa zaidi kwa abairia waliobebwa
Hawa waendesha bodaboda na bajaj ni wajeuri sana
Omba usiwagonge maana kitakachokukuta utajuta
 
Lipo tatizo la waendesha mabasi ya mwendo kasi. Mazingira ambayo anaweza kuepusha ajali atalazimisha kana kwamba ni treni.
Hatuwez kukataa kuwa watu wa bodaboda na bajaj hufanya maamuz ya ovyo, lakini kwa kuwa ni Mtanzania na Fairly ni binadam mwenzako, fanya uwezalo kuepusha kifo cha mwenzako.
Ila nnachojua mimi ni kua hakuna dereva anaependa kupata ajali iwe wa chombo chochote kile, kuna madereva wengine wanakulazimisha kupata ajali kwa uendeshaji wao m'bovu,
Siamini kama hawa madereva wa mwendo kasi wanawagonga kwa makusudi, unakuta dereva yupo bize kulenga barabara {mnajua barabara zao zinavyohitaji umakini} baada ya taa kuruhusu au zikiwa zinamruhusu apite kwa spidi aliyonayo mtu anachomekea gjafla
 
Mimi juzi nilienda kununua mbuzi vingunguti kwaajl ya eid muda wa kurudi nilichukua bajaji ase jamaa alikuwa anachomeka tu mataa hafuatishi ,road 2 zote zake na mabalaa mengi alifanya

Ajali ishatokea lkn kwa uoni wangu bajaji atakuwa na makosa ,hawa jamaa akili zao zinafanana ,

R.I.p jembe
 
AISEE,,kama nikweli, Huyo dereva hana ubinadamu hata kidogo,,hata km mwenye Bajaj alikuwa na makosa,,,sasa amepata faida gani kamuua Mtanzania mwenzie sababu yakujiona tu yupo juu kwakuendesha ilo jeneza,,,Mungu amlaze mahala pema marehemu,
Ni kweli madereva wa mwendokasi wana viburi sana,
 
RIP .

Ila ni ujumbe kwetu sote:
Zama za daladala zimekwisha.Tujiulize ingekua ni treni ya umeme umeichomekea madhara yangekuaje?

Tuanze kubadilika kujithamini na kuwathamini wengine, tabia za "uswahili" hazitusaidii...what if bajaji angesubiri dakika kadhaa ingemgharimu nini?

Tumejiuliza what if matuta yakatolewa barabarani kama "inavyonenwa na waungwana" wangapi wataumia kwa uzembe?

Ukitaka kujua impact ya upuuzi wa kutokutii sheria jiulize sehemu kama Amerika kwenye mabarabara ya magari mengi ya kasi atokee mhuni mmoja achomekee au afunge breki.ghafla...bila shaka tutapata picha ya kuendekeza mazoea na tabia hatarishi.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Rip. Matatizo ya kukariri & kufanya kazi kama robots za zamani. Gari hizo zina breaks ... kwa nini zisitumike?
 
Ni kweli kuna wakati waendesha bajaji na pikipiki huendesha vibaya. Wengi wao ni vijana wadogo, wanaohangaikia maisha na wengine wana frustration kutokana na kutouona mwanga wa maisha yao.

Binadamu mwenzako hata kama amefanya kosa la namna gani, wewe unayejiona upo sahihi bado una wajibu wa kujitahidi kulinda uhai wake. Sina takwimu lakini naamini tunapoteza vijana wengi kwa ajali za pikipiki na bajaji. Tunawaona vijana hawa ni wahalifu wasiopenda kufuata sheria lakini nasi kama jamii tumeshindwa kuwatengenezea uhakika wa maisha.

Naweza kuwapa pole wafiwa lakini kama hakuna tunachofanya kuokoa maisha ya vijana wetu, pole zetu hazina maana. Tufanye nini ili kuwapa matumaini na uhakika wa maisha vijana wetu?
 
AISEE,,kama nikweli, Huyo dereva hana ubinadamu hata kidogo,,hata km mwenye Bajaj alikuwa na makosa,,,sasa amepata faida gani kamuua Mtanzania mwenzie sababu yakujiona tu yupo juu kwakuendesha ilo jeneza,,,Mungu amlaze mahala pema marehemu,
Kwahiyo we ulitaka watanzania wengi waliokuwa kwenye bus ndo wafe?
 
Mnalalamika sana
Magari ya mwendo kasi yanabeba watu wengi sana kufunga breki kwa ghafla kutasababisha maafa zaidi kwa abairia waliobebwa
Hawa waendesha bodaboda na bajaj ni wajeuri sana
Omba usiwagonge maana kitakachokukuta utajuta
You have a valid point .. ila inahitaji professional driver ndio atakuelewa.
 
Ni kweli kuna wakati waendesha bajaji na pikipiki huendesha vibaya. Wengi wao ni vijana wadogo, wanaohangaikia maisha na wengine wana frustration kutokana na kutouona mwanga wa maisha yao.

Binadamu mwenzako hata kama amefanya kosa la namna gani, wewe unayejiona upo sahihi bado una wajibu wa kujitahidi kulinda uhai wake. Sina takwimu lakini naamini tunapoteza vijana wengi kwa ajali za pikipiki na bajaji. Tunawaona vijana hawa ni wahalifu wasiopenda kufuata sheria lakini nasi kama jamii tumeshindwa kuwatengenezea uhakika wa maisha.

Naweza kuwapa pole wafiwa lakini kama hakuna tunachofanya kuokoa maisha ya vijana wetu, pole zetu hazina maana. Tufanye nini ili kuwapa matumaini na uhakika wa maisha vijana wetu?
Kuzijua na kutii sheria na alama za barabarani...thinking before actions.
 
Back
Top Bottom