Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Kuna ajali mbaya imetokea Ubungo njia panda, basi la mwendo kasi na bajaji kugongana na kisha bajaji kuburutwa na basi hlo umbali wa kama meter 60.
Bajaji imeharibika haifai na dereva kaburutwa kachunika vibaya mno na kukata roho hapo hapo huku damu zikitapakaa barabarani.
Kumetokea hali ya taharuki kubwa baada ya wananchi wenye hasira kali kutaka kuleta fujo wakidai dereva huyo wa mwendo kasi alikua amekusudia.
Angalizo: Tuwe makini sana katika junction hizi za barabara tuwapo kwenye vyombo vya moto.
Chanzo: Nimepita eneo la tukio
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Roho ya marehemu ipumzike palipo pema. Amen