libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,477
- 3,641
Picha itakusaidia nini?Mkuu weka picha.
Picha itakusaidia nini?Mkuu weka picha.
Inasikitisha mno cha msingi ni kuwa tayari maana hakuna ajuaye saa yake wala dakika yake na hata style ya uondokaji wake!oh unakuta familia yake inasubiri baba arudi nyumbani alete kitowep nila kufahamu mwenyewe kashatoweka hapa duniani rest in peace nieumia sana
Nalitambua hilo inabidi tujiweke tayari hapa si makazi ya kudumuNdiyo hvyo.....haijulikani siku wala saa......
Nafasi itamsuta mpaka kaburiniKilichoniuma mnooo ni kwamba ndio bajaji yaweza ikawa ana makosa ila kibinadam kumburuta mtu vile lami na kumchuna ukicheck umetoka njia panda na brake unazo kwann usipunguze tu mwendo. Daah, sio poa kabsa.
Ubinadamu ndo unawaponza wabongo wengi wazembe. Ishu ni kufata taratibu tulizojiwekea. Basi.AISEE,,kama nikweli, Huyo dereva hana ubinadamu hata kidogo,,hata km mwenye Bajaj alikuwa na makosa,,,sasa amepata faida gani kamuua Mtanzania mwenzie sababu yakujiona tu yupo juu kwakuendesha ilo jeneza,,,Mungu amlaze mahala pema marehemu,
Acheni kuwazia ubinadamu maana hauhitajiki hapo. Walau angekua mwenda kwa miguu. Hao bajaji na toyo wakorofi sana njiani.Kilichoniuma mnooo ni kwamba ndio bajaji yaweza ikawa ana makosa ila kibinadam kumburuta mtu vile lami na kumchuna ukicheck umetoka njia panda na brake unazo kwann usipunguze tu mwendo. Daah, sio poa kabsa.
Acha iwaume hasa ndo wajue kufuata sheria na taratibuTha guy ilikua kibinadamu tu baada ya kumgonga apunguze mwendo.....kuna vitu yule dereva alifanya ndio vimeansha hasira za watu.
Nimeona watu wazima kabisa wakiwa katika hali flan ya kutaka kutoa machozi. Akina dada na wamama ndio kabisaaa ilikua ni vilio vyenye uchungu.
Hajaua. Wa bajaji kajitoa muhangahah haha hah hah jamaa wanazingua breki zipo wana njia zao wamakamue wakifika kwenye njia panda hata kama taa zimewaruhusu udereva wa kujihami ni muhimu sasa kaua sifa inaenda kwake kwamba kawa dereva bora au ndio tunakaa tunasema ni mambo ya barabarani
Nafasi itamsuta mpaka kaburini
Ndugu, hao mabajaji ni wasumbufu sana. Acha wafewafe ndo akili zitakaa sawa. Ustaarabh unaepusha mengi sana.Lipo tatizo la waendesha mabasi ya mwendo kasi. Mazingira ambayo anaweza kuepusha ajali atalazimisha kana kwamba ni treni.
Hatuwez kukataa kuwa watu wa bodaboda na bajaj hufanya maamuz ya ovyo, lakini kwa kuwa ni Mtanzania na Fairly ni binadam mwenzako, fanya uwezalo kuepusha kifo cha mwenzako.
Boda na bajaji zinakera, zinaudhi sanaa. Ila binafsi...kupitia dini yangu ninayo iamini....ningesimama kupunguza maafa zaidi. Kama ww umeona sawa, basi poa.Acha iwaume hasa ndo wajue kufuata sheria na taratibu
Bajaji ni mtu mmoja. Mwendokasi pengine ina zaidi ya watu 20. Breki ya ghafla ingeleta maafa makubwa kuliko kuua bajaji mmoja na kibajaji chake.Nilikuwepo eneo la tukio. Makosa ni ya bajaji kwa asilimia 100. Ingawa mwendokasi angeweza kusimama kwa dharura.
Kauli yako ya mwisho haina mashiko ikiwa bajaji ndo alikua na kosa. Tujifunze kufuata sheriaKabisaa...... Sawa hana kosa ndio....ila kama haya maisha yanaenda na hili jua linawaka, sijui.