Ajali mbaya yaua Ubungo njia panda

Ajali mbaya yaua Ubungo njia panda

waliobaki nyumbani inawahusu nini? mi nawaongelewa wale walionyuma ya hawa wasababisha ajali kama ulivyowaita..................ingekuwa ni mtohani ungefeli
Maana yangu ni kuwa hawa madereva wa bodaboda na bajaj wangekuwa wanajitambua ya kuwa wao ni mihimili ya familia zao...WANGEIHESHIMU BARABARA PAMOJA NA VYOMBO WAKAACHA.. VURUGU WENGI WAO WANAOZIFANYA NA ZINASABABISHA AJALI NYINGI
 
Marehemu alale pema peponi
Tuwe makini tukiwa barabarani tuluo salia
 
Back
Top Bottom