Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
- Thread starter
- #21
AISEE,,kama nikweli, Huyo dereva hana ubinadamu hata kidogo,,hata km mwenye Bajaj alikuwa na makosa,,,sasa amepata faida gani kamuua Mtanzania mwenzie sababu yakujiona tu yupo juu kwakuendesha ilo jeneza,,,Mungu amlaze mahala pema marehemu,
Tha guy ilikua kibinadamu tu baada ya kumgonga apunguze mwendo.....kuna vitu yule dereva alifanya ndio vimeamsha hasira za watu.
Nimeona watu wazima kabisa wakiwa katika hali flan ya kutaka kutoa machozi. Akina dada na wamama ndio kabisaaa ilikua ni vilio vyenye uchungu.