wakulichomeka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 517
- 142
Imeua au
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Barabara zetu ni safi kabisa na hasa ukizingatia speed upewayo na hasa ya mjini
kwanini usilaumu aina ya haya magari ya kijapan
kwa nini yanalipuka na kuunguza injini na gari lote wakati Tank lipo nyuma
kwanini milango inaji-lock na mikanda isifunguke, majeruhi wakakimbia.
Ajali km hizo wangekuwa wanapata mafisadi na wale walioharibu mchakato wa katiba......Any way Mungu ndio hakiku. RIP
Ukiona matukio kama haya, tafakari uhusiano wako na Mungu
Navuta picha ya drainage za Mandela Rd ambazo kuta zake tayari zimeanza kubomoka.Mkuu design ni mbaya pengine hufahamu maana ya barabara nzuri i.e definition of public highway and classification of roads, huwezi kuwa na barabara anbayo junction yake na taa zipo hivyo kwenye design ambayo inajali watumiaji wa hiyo barabara, ukizingatia wanaosafiri kwa miguu na wanaoendesha magari. Swala la ubovu wa magari ni jingine unaweza kulianzishia thread yake lakini utukutu na ubovu wa miundo mbinu inachamgia kwa kiasi kikubwa. Mji kama Dar kwa nini uwe na mitaro kama hiyo kama sio kutokuwa na designers hafifu wasiojua wanachokifanya?
Angalia makutano ya barabara nyingi hapa Dar ni raia wangapi wanapoteza maisha? Tufike mahali tubadilike na wataalam wenye uwezo wawe ndio designers sio mambo ya kupeana kazi kama mjomba. Hiyo mitaro ni makaburi tayari, unaweza kubeza hili lakini mark my words in few years mitaro yote hutaweza kuiona.
mpaka sasa sijajua habari ni ipi cause watu wanapeana mipasho kama wako kwenye taarab, hebu kuweni wastaarabu wakati unacomment kitu, na wewe mleta mada leta mada zilizojaa mtu ukisoma unaelewa...!!!
Kweli mkuu...wakati ajali hiyo inatokea moja wa mashuhuda wachache wa mwanzo (eneo hilo halina watu wengi hasa asubuhi kama ile) alinipigia simu na kuniambia kuna mtu aliyekuwa anatokea total ndio alimchomekea na jamaa alipojaribu kumkwepa ndio akaingia kwenye mtaro na gari kulipuka hapo hapo........aliyechomekea hakusimama ingawa inasemekana aliona nini kimetokea......jamaa kafa kifo kibaya sana aiseee.....