Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
Jamaa alikua ametoka kwa mshkaji wke maeneo y kunduchi anafanya stanbic headoffice so sad
Kwani hufahamu ana maana gani?
Basi yaishe lakini muwe na huruma na uendeshaji wenu,
kwani tunaambiwa alichomekewa na ili kunusuru maisha ya wengine akachepuka pembeni, mtaro ndio ukambeba na milango haikufunguka hapo huoni hata magari yana makosa kiji-lock?