Kwanini tuangamie? soma hapaAjali mbaya imetokea leo asubuhi baada ya gari ndogo kuhama njia na kutumbukia kwenye mtaro na kisha kuwaka moto na kuteketea maeneo ya kati ya Africana na Mbuyuni(Bagamoyo road).
Ndani ya gari kulikua na mtu mmoja tu, inasemekana dereva alikuwa katika mwendo kasi kisha kwa mbele ikatokea gari nyingine ambayo ilikuwa ikivuka kuenda upande wa pili (Mwenge) hapo ndio dereva wa hili gari katika kufanya juhudi za kukwepa akaingia mtaroni na baada ya muda gari ikalipuka kwa moto na kuteketea yote.
Mungu ampumzishe kwa Amani.
Chanzo: Mimi na Baadhi ya mashuhuda.
ila mm nawachukiaga wale wanaowachomekeaga wenzaoo.......
Dah!RIP maranyingi ajali za aina hii kwa weend husababishwa na ulevi.
Hayo ndo matunda ya barabara kuwa nzuri kwa vijana kati ya 20 - 35 years. Akiendesha gari au pikipiki utadhani anakwenda Mwanza kumbe Kunduchi tu. Ni ulimbukeni wa vijana
Poleni sana wafiwa and may his soul R.I.P
Jamaa kaisha kwa moto mpaka kichwa kimepasuka,nimeshuhudia pia wakati inawaka mpaka ilipozimwa. So sad
Barabara haina mbwembwe vijana
Ni kweli ya kusikitisha lakini hao moto chini na moto bati ni wapo wengi hao na sijui hawa wanajiamini kivipi au roho zinauzwa madukani ndo kujiamini hivo tena kila siku hayo hayo tuu
Msilaumu sana eti dereva alikuwa mlevi. Kwa mwendo kasi inawezekana na inapotokea dalili ya ajali kila dereva ana panic na kuchukua maamuzi ya haraka. Na kila amuzi la haraka lina matokeo yake kulingana na mhusika alivyo sharp kupata the best or the worst quick option. Hakuna kulaumiana hapa hasa kama wewe ni dereva. Rest in Peace ndugu.
Ajali hiyo mmmmh
R.I.P dereva wa mwendo kasi
Amevuna alichopanda unaenda mwendo wa kasi wa nn wakati gari ni mali yako
Duh,kweli katangulia huyo ...madreva jamani ni bora uchelewe kazini lakini ujari uhai wako vinginevyo utakufa na kuacha simanzi kwa jamaa
RIP dereva. Daah ila hii njia inaita sana asee. yaani kila ukikanyagia waona kama gari haiendi hasa pale bondeni.
Suluhisho pekee la ajari liko hapaila mm nawachukiaga wale wanaowachomekeaga wenzaoo.......
Hayo ndo matunda ya barabara kuwa nzuri kwa vijana kati ya 20 - 35 years. Akiendesha gari au pikipiki utadhani anakwenda Mwanza kumbe Kunduchi tu. Ni ulimbukeni wa vijana
R.I.P dereva wa mwendo kasi
Nyie ...... Nyie dereva mwendo kasi akifufuka , mtakula mabio!!Amevuna alichopanda unaenda mwendo wa kasi wa nn wakati gari ni mali yako
thou its nt gud to blame the dead body but i do agree with uHayo ndo matunda ya barabara kuwa nzuri kwa vijana kati ya 20 - 35 years. Akiendesha gari au pikipiki utadhani anakwenda Mwanza kumbe Kunduchi tu. Ni ulimbukeni wa vijana
Hayo ndo matunda ya barabara kuwa nzuri kwa vijana kati ya 20 - 35 years. Akiendesha gari au pikipiki utadhani anakwenda Mwanza kumbe Kunduchi tu. Ni ulimbukeni wa vijana
Ajali km hizo wangekuwa wanapata mafisadi na wale walioharibu mchakato wa katiba......Any way Mungu ndio hakiku. RIP
Suluhisho pekee la ajari liko hapa
Msilaumu sana eti dereva alikuwa mlevi. Kwa mwendo kasi inawezekana na inapotokea dalili ya ajali kila dereva ana panic na kuchukua maamuzi ya haraka. Na kila amuzi la haraka lina matokeo yake kulingana na mhusika alivyo sharp kupata the best or the worst quick option. Hakuna kulaumiana hapa hasa kama wewe ni dereva. Rest in Peace ndugu.
Khaa!! Kumbe JF hapa wengi akili zao za kushikiwa. Mnapewa picha na vimaneno kidogo tu basi mnatoa hukumu. Mungu awasamehe kisha awajaze busara japo kidogo.
Utawaweza wabongo, sehemu aliopata ajali ni mbaya sana, na ikumbukwe kuwa ni highway , aliyekuwa na makosa ni yule aliyeingia kutoka salasala bila kuangalia huyu aliyekuwa highway akitokea bagamoyo.