Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

Lakini aliyefariki je, ni nani? Lesson number one: Kuwa highway sio tiketi ya kuendesha gari kwa mwendo mkali kwani likitokea jambo lolote itakuwa vigumu kujikinga.

Issue ni kuwa makini barabarani, unatakiwa uendeshe gari kama tano kwa wakati mmoja, bajaji, bodaboda, kiukweli kama unaifaham ile sehem huwezi kumlaum aliyefariki
 
thou its nt gud to blame the dead body but i do agree with u

Dear Lin, I do conquer with you, that its unfair to blame the dead, indeed what I meant in my statement is to tell the truth to all of us who are alive so that we don't repeat the silly mistakes that takes away many lives of youths
 
  • Thanks
Reactions: lin
Issue ni kuwa makini barabarani, unatakiwa uendeshe gari kama tano kwa wakati mmoja, bajaji, bodaboda, kiukweli kama unaifaham ile sehem huwezi kumlaum aliyefariki

Kimsingi sidhani kama marehemu analaumiwa ila tunachopaswa ni kujifunza kuwa makini barabarani, hasa vijana. Mtu mwerevu hujifunza kwa makosa ya wenzake.
 
Ndugu zanguni marehemu ameshajulikana ni nani? So sad.
 
Nimepita eneo hilo jioni hii... Anayehisiwa kuwa alimchomekea atakuwa alitokea TOTAL Bagamoyo Road. Huyu Marehemu alikuwa anatokea Mwenge.
 
Design ya barabara za Tanzania ni michosho tu, hiyo mitaro inafanya nini barabarani? Ndugu wa jamaa waishitaki serikali kwa kuwa na design mbovu.
 
Design ya barabara za Tanzania ni michosho tu, hiyo mitaro inafanya nini barabarani? Ndugu wa jamaa waishitaki serikali kwa kuwa na design mbovu.

Duh... Mvua zikianza mnalalama hakuna mitaro
 
Hatujazoea barabara nzuri magufuli bandua lami yachimbee mashimoshimo mara moja
 
Design ya barabara za Tanzania ni michosho tu, hiyo mitaro inafanya nini barabarani? Ndugu wa jamaa waishitaki serikali kwa kuwa na design mbovu.

Barabara nyingi zipo karibu na makazi ya watu, bora amekufa peke yake kama kusingekuwa na mtaro huenda angezoa watu wengi zaidi.
 
Ajali zinaua wengi sana, Mungu atuepushe na hii kitu aisee...
 
barabara yenyewe ina vibapo vya speed limit kila baada ya muita 500 wameandika 60km/h
 
Nimepita eneo hilo jioni hii... Anayehisiwa kuwa alimchomekea atakuwa alitokea TOTAL Bagamoyo Road. Huyu Marehemu alikuwa anatokea Mwenge.

Kweli mkuu...wakati ajali hiyo inatokea moja wa mashuhuda wachache wa mwanzo (eneo hilo halina watu wengi hasa asubuhi kama ile) alinipigia simu na kuniambia kuna mtu aliyekuwa anatokea total ndio alimchomekea na jamaa alipojaribu kumkwepa ndio akaingia kwenye mtaro na gari kulipuka hapo hapo........aliyechomekea hakusimama ingawa inasemekana aliona nini kimetokea......jamaa kafa kifo kibaya sana aiseee.....
 
Back
Top Bottom