Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

Signs zipi zingekujulisha kuwa alikua hai wakati anaungua??
Fuvu lilikuwapo hapo kwenye kiti chake na namna gari ilivokaa asingeweza fungua mlango wake hata kama alikua hai.


Nimeona video, uwezekano wa yeye kuwa hai au conscious wakati wa moto una waka ulikua mdogo , sababu uwezekano wa yeye ku vunja kioo au hata kuashiria watu pembeni wamuone kwamba anaomba msaada mngeona wakati akifanya hivyo.Kuna uwezekano mkubwa alikua unconscious sababu ya impact au alikua kaisha fariki wakati moto umesambaa.

https://www.youtube.com/watch?v=i6_D-yI0XhI
 
Back
Top Bottom