Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

Kwendesha gari kwenda mikoani hawezi, ila mjini kasi nyingi unakwenda wapi? Haya ndio matokeo yake sasa
 
mhhhh!!, inahuzunisha sana , lakini sijui ni lini na sisi wa bongo tutaanza kufuata sheria za barabarani pasipo kusimamiwa mara nyingi hasa asubuhi na usiku mtu akikukuta unasubiri taa anaanza kupiga honi anataka uondoke anatukana jamana haya ndiyo matokeo japo yanasikitisha
 
Design ya barabara za Tanzania ni michosho tu, hiyo mitaro inafanya nini barabarani? Ndugu wa jamaa waishitaki serikali kwa kuwa na design mbovu.
Barabara zetu ni safi kabisa na hasa ukizingatia speed upewayo na hasa ya mjini
kwanini usilaumu aina ya haya magari ya kijapan
kwa nini yanalipuka na kuunguza injini na gari lote wakati Tank lipo nyuma
kwanini milango inaji-lock na mikanda isifunguke, majeruhi wakakimbia
.
 
Jamani huyu jamaa kashatambulika? Roho inaniuma ukute alikuwa anaelekea Mkoani kupitia Bagamoyo kuelekea Msata kutokea Dar ambapo sio mwenyeji.
 
Engine kubwa kama hii usipokuwa makini gari inapaa

attachment.php
 
Barabara zetu ni safi kabisa na hasa ukizingatia speed upewayo na hasa ya mjini
kwanini usilaumu aina ya haya magari ya kijapan
kwa nini yanalipuka na kuunguza injini na gari lote wakati Tank lipo nyuma
kwanini milango inaji-lock na mikanda isifunguke, majeruhi wakakimbia
.

Mkuu design ni mbaya pengine hufahamu maana ya barabara nzuri i.e definition of public highway and classification of roads, huwezi kuwa na barabara anbayo junction yake na taa zipo hivyo kwenye design ambayo inajali watumiaji wa hiyo barabara, ukizingatia wanaosafiri kwa miguu na wanaoendesha magari. Swala la ubovu wa magari ni jingine unaweza kulianzishia thread yake lakini utukutu na ubovu wa miundo mbinu inachamgia kwa kiasi kikubwa. Mji kama Dar kwa nini uwe na mitaro kama hiyo kama sio kutokuwa na designers hafifu wasiojua wanachokifanya?

Angalia makutano ya barabara nyingi hapa Dar ni raia wangapi wanapoteza maisha? Tufike mahali tubadilike na wataalam wenye uwezo wawe ndio designers sio mambo ya kupeana kazi kama mjomba. Hiyo mitaro ni makaburi tayari, unaweza kubeza hili lakini mark my words in few years mitaro yote hutaweza kuiona.
 
Unataka mitaro iwe vipi? Hapo mwanzo nime quote hoja yako hujajibu
 
Dua La Kuku..................................MALIZIA Mkuu!

Halimpati mwewe.......Mkuu bado umekalili tu? Umekuwa mbwiga hivo Mpaka leo unaamini kuwa aliyeko juu mngoje chini? Kwa taarifa hiyo misemo haiapply kila sehemu na hii sio sehemu mwafaka kuapply.....LABDA BCOZ UMEKALILISHWA
 
Jamani huyu jamaa kashatambulika? Roho inaniuma ukute alikuwa anaelekea Mkoani kupitia Bagamoyo kuelekea Msata kutokea Dar ambapo sio mwenyeji.

Jamaa alikua ametoka kwa rafiki yke maeneo y kunduchi anarudi twn ndio akapata ajali anafanya stanbic bank
 
Halimpati mwewe.......Mkuu bado umekalili tu? Umekuwa mbwiga hivo Mpaka leo unaamini kuwa aliyeko juu mngoje chini? Kwa taarifa hiyo misemo haiapply kila sehemu na hii sio sehemu mwafaka kuapply.....LABDA BCOZ UMEKALILISHWA

Washua Wako Wasingekalilishana Wewe Ungepumua Leo Duniani? POPOMA Weye.
 
Jamani hebi tuwe na huruma. We ingekua ndugu yako ungefurahi kuona hizi comment humu ndani. Ndio kuna la kujifunza hapa lakini sio kusema kwa kejeli jamani. Kweli unaweza ukawa binadam lakini ukakosa utu loh.
 
Back
Top Bottom