Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
RIP lakini why the same location same bus?
Kafara..
RIP lakini why the same location same bus?
Kaka unatoka wapi kwenda nchi gani, maana hakuna umbali huo kutokea mkoa wowote kwenda mkoa wowote nchi hii..
Inasemekana sehemu ambayo ni mbali sana kutokea Dar es salaam ni kigoma na ni Km 1500 tu, dar musoma km 1400, dar-bukoba km almost 1500 sasa wewe hizo km 2600 unatoka mkoa gani na unakwenda mkoa gani?
Na kiusalama na kiafya sidhani kama ni sahihi kwa dereva mmoja kuendesha umbali wote huo peke yako
jamaa wanasema linajaza sana abiria...
Nimepokea taarifa basi burdani likitokea korogwe asubuhi ya leo limepata ajali maeneo ya kabuku na inasemekana zaidi ya abiria 22 wamefariki hapo hapo
kwa kutazama picha watu 22 hata 12 haiwezekani. Itakuwa ni huyo 1 wanavyosema. Hata kama ni tetesi basi ziwe zina angalau ukweli
jamaa wanasema linajaza sana abiria...
Sio uongo hili bus linajaza sana abiria kupita uwezo wake sijui ni unafuu wa nauli au nini??
R.I.P na haihai kwa majeruhi wote pamoja wana Korogwe kwa ujumla maana huo ni mcba wetu sote
Mda mfupi uliopita basi la Kampuni ya Burudani inayotoka Korogwe kuelekea Dar es salaam limepinduka na kuua watu 11 na wengine kujeruhiwa vibaya,basi hilo limepinduka maeneo ya Chonga.
Ajali hiyo imesababishwa na mwendo kasi ambapo dereva alishindwa kukata kona na hatimaye basi kupinduka.
Source:Wapo Radio
So sad! RIP Marehemu wote.Kabuku,mahali pabaya sana pale kwa njia ya Moshi-Arusha.Sijui kwanini!?