Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

Nasikia tajiri alionekana ana test mabasi mapya na akapewa deiwaka ndio ikawa hivyo tena..
 
Kaka unatoka wapi kwenda nchi gani, maana hakuna umbali huo kutokea mkoa wowote kwenda mkoa wowote nchi hii..

Inasemekana sehemu ambayo ni mbali sana kutokea Dar es salaam ni kigoma na ni Km 1500 tu, dar musoma km 1400, dar-bukoba km almost 1500 sasa wewe hizo km 2600 unatoka mkoa gani na unakwenda mkoa gani?

Na kiusalama na kiafya sidhani kama ni sahihi kwa dereva mmoja kuendesha umbali wote huo peke yako

Umeshawahi chunguza Arusha - Mbeya kuna km ngapi? Hizo Km nazoongelea ni go and return yaani Km 1300 one way zinaweza kuzidi ni From Arusha to Songea huko. bado hujafika mbinga hapo.
Pamoja na hayo the longest distance labda inaweza kua Bukoba- Mtwara au Bukoba- Mbeya.
 
Back
Top Bottom