Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,380
- 101,564
Aseee....inatoka mkoani?Inaingia nchi gani?Ooh...sorry...ma bad!Poleni waathirika[emoji60] [emoji120]Ya abiria inatoka mkoani.. Sijajua ni gari gani bado
Aseee....inatoka mkoani?Inaingia nchi gani?Ooh...sorry...ma bad!Poleni waathirika[emoji60] [emoji120]Ya abiria inatoka mkoani.. Sijajua ni gari gani bado
Ni Leina tours inayotokea kahamaNi gari ya abiria au.....????
Hawa madereva ya haya mabasi makubwa ya mikoani ni shida sana. Unakuta dereva kashakaribia kufika labda bado 20-5km lkn anavyokimbia na ku-overtake magari utadhani anawahi mbinguni.Chanzo cha Ajali ni mwendo kasi inapelekea kumshinda na kuingia Mtaroni. Abiria wote watatu akiwemo Dereva waliojaribu kuruka wamegandamizwa na gari hadi muda huu!
SubhanallahChanzo cha Ajali ni mwendo kasi inapelekea kumshinda na kuingia Mtaroni. Abiria wote watatu akiwemo Dereva waliojaribu kuruka wamegandamizwa na gari hadi muda huu!
Laana kweli wewe!weka picha kwanza.
Wiki iliyopita nilikuwa natoka Arusha kuja Dar,nilipofika maeneo ya Mlandizi nilikutana na ajali,bus kampuni ya Kisbo imegongana uso kwa uso na gari ndogo na inaonekana na kusemekana kuwa dereva wa basi hilo ali-overtake sehemu ambapo hakustahili kufanya hivyo.Nadhani usemalo mkuu ni sahihi kabisa.Nilisha wahi kupost uzi hapa, mabasi ya LEINA pamoja na KISBO, ni shida, serikali yamulikeni mabasi haya.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mnaotaka picha shikeni adabu zenu
Kwani abiria maana yake nini?Ni gari ya abiria au.....????
Aisee, yaani walikuwa wamefika kabisa.Ni Leina tours inayotokea kahama
Yote ni magari ya abiria, Ila nilimaanisha daladala au basi za mkoa. Maana ya abiria........!!!!Kwani abiria maana yake nini?
Mawazo yako sawasawa na mawazo yangu,wanakela sana....Dah hatari,mmie ndomana nikiona bus ama lorry nyuma yangu huwa nayapa ishara yanipite tu,you can never trust them.