AJALI: Leina Tours lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

AJALI: Leina Tours lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

leina tours bus la kahama dah siamini juzi nimetoka kule na newforce,nimesikitika zaid baada ya kusikia ni kimara nimejiuliza sana na nimekosa majibu,yanakotoka ni mbali na mwendo kama tunavyojua yaani inafika dar ndio ajali,poleni sana majeruhi na waliopoteza ndugu zao.
Sasa Ulitaka liangukie wapi uzembe au uchovu au kutokuwa makini pengine tuseme bahati mbaya but ndio ajali.
 
Nilisha wahi kupost uzi hapa, mabasi ya LEINA pamoja na KISBO, ni shida, serikali yamulikeni mabasi haya.
Hiyo ni kweli. Na kuna pacha wao anaitwa City boy wa dar kahama pia...haya mabasi matatu speed yake ni balaa, na huwa yanaongozana. Speed yao sio ya kawaida aisee
 
Hiyo ni kweli. Na kuna pacha wao anaitwa City boy wa dar kahama pia...haya mabasi matatu speed yake ni balaa, na huwa yanaongozana. Speed yao sio ya kawaida aisee
Bila kusahau HAI EXPRESS NA NEW FORCE kutoka mbeya, jana nimepanda hai exp. anafukuzana na new force ni hatari nashukuru Mungu nilifika swalama
 
Abiria huwa tunapewa somo na askari wa usalama barabarani kuwa tuonapo dereva anaendesha mwendo kasi tutoe taarifa lakini wapi .Jambo lingine linalochangia ajali ni dereva kutokuwa na msaidizi.Mfano dereva anatoka Tabora saa 12 asubuhi mpaka anafika Ubungo Terminal saa 5 au 6 usiku unategemea nini ? Wamiliki waajiri madereva wawili na askari wa usalama nao wafuatilie jambo hili.
 
Back
Top Bottom