Kwa suala la bodaboda, mimi mara nyingi huwa naona wengi wao hawajijali. Chanzo kitaelezwa lakini hawa vijana akili zao ngumu sana kufuata utaratibuBasi ilo lilikua linatokea tunduma limemgonga mwendesha bodaboda na kumuua hapo hapo
Chanzo cha ajali Bado hakisomeki View attachment 2723296
Tukumbuke wiki hii LATRA wametoka kuwapa onyo la mwsho kampuni iyo lakni kabla ya wiki kuisha basi ilo limepagonga mtu
Nb::😛icha za bodaboda ngumu kutuma maana jamaa amesambaratika View attachment 2723291
View attachment 2723297
View attachment 2723298
Acha nongwa.Mbona huwa mnadai picha hadi kuzira na kusema bila picha habari ni umbeya?vipi baba ako angefanywa hivyo kisha mimi niweke picha zake mtandaoni, ww ungenielewa?
Kwa hilo mbanga hiyo kofia haiwezi kustahimili kishindo.Hana hata kofia ngumu,dah rest in peace mwamba
Usimuulize, unampa wakati mgumu, Nilishaunganisha dots.Sijaelewa huyu unayemwambia afute picha ni nani wakati wewe ndio mtoa mada
Ama ndio mambo ya multiple IDs
Unahakika kuwa ni maiti?Ondoa hizo picha mbili za maiti...