wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
Basi ilo lilikua linatokea tunduma limemgonga mwendesha bodaboda na kumuua hapo hapo
Chanzo cha ajali Bado hakisomeki
Tukumbuke wiki hii LATRA wametoka kuwapa onyo la mwsho kampuni iyo lakni kabla ya wiki kuisha basi ilo limepagonga mtu
Nb::😛icha za bodaboda ngumu kutuma maana jamaa amesambaratika