Ajali: Kampuni ya basi la Newforce imegonga mwendesha bodaboda

Ajali: Kampuni ya basi la Newforce imegonga mwendesha bodaboda

Basi ilo lilikua linatokea tunduma limemgonga mwendesha bodaboda na kumuua hapo hapo

Chanzo cha ajali Bado hakisomeki

Tukumbuke wiki hii LATRA wametoka kuwapa onyo la mwsho kampuni iyo lakni kabla ya wiki kuisha basi ilo limepagonga mtu

Nb::😛icha za bodaboda ngumu kutuma maana jamaa amesambaratika View attachment 2723291

View attachment 2723298
Mkuu nimekufuatilia muda mrefu umekuwa mtu wa kwanza ukiripoti habari ya ajali za basi za New Force. Inawezekana ukawa mfanyakazi wa hiyo kampuni, hiyo inakufanya upate habari kwa haraka!
 
Mkuu nimekufuatilia muda mrefu umekuwa mtu wa kwanza ukiripoti habari ya ajali za basi za New Force. Inawezekana ukawa mfanyakazi wa hiyo kampuni, hiyo inakufanya upate habari kwa haraka!
Apunguze mihemko basi aseme ajali imetokea wapi?
 
Umesoma tukio kwa umakini ? Au umekurupuka kama kawaida yako ?
 
Wenyewe husema wana mwaga moto,hawa wengine hawapigi honi mara mbili usipo sikia subiri upepo
 
Back
Top Bottom