kizeze
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 346
- 361
kuna ajali imetokea muda uhuu hapa mbele ya Ubena,
Hilo basi nimeshindwa kulijua wala kupiga picha kwani lilikuwa mbele yetu na dereva wa gari letu akalipita bila kutoa msaada
=======
=======
Hilo basi nimeshindwa kulijua wala kupiga picha kwani lilikuwa mbele yetu na dereva wa gari letu akalipita bila kutoa msaada
=======
Umeniwahi,ni kweli nipo hapo sasa hivi nitarusha picha nipo kwenye gari mkuu. Basi linaitwa mj lilikuwa linaelekea kondoa. Ajali imetokea baada kuigonga baiskeri. Watu 2 wamekufa papo hapo mtoto mmoja na mkubwa mmoja. Majeruhi wamekimbizwa moro. Nimechukua clip ya wahanga na picha pia.
=======