Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

  • Thanks
Reactions: EMT
Nimeusoma kwa kifupi ila nimejifunza vitu vingi...
Theard kama hizi zinahitajika kuwa up dates Mara kwa mara.

Ajabu nimekuta inatokea jukwaa la lugha.!!!

Sijui uliianzishia huko, au ilipelekwa tu..

Jukwaa la lugha ndilo stahiki.

Siku hizi wanyama wana utu zaidi yetu?

[video=youtube_share;ceQr90C0Em0]http://youtu.be/ceQr90C0Em0[/video]
 
Jukwaa la lugha ndilo stahiki.

Siku hizi wanyama wana utu zaidi yetu?

[video=youtube_share;ceQr90C0Em0]http://youtu.be/ceQr90C0Em0[/video]

Mkuu mbona post yako kali sana ukichanganya na hiyo video ndio kabisa.?

Kwa nini unafikiri binadamu tumefikia hatua ya kuwa afadhali ya wanyama.!!
 
So sad!! Ndio nimelipita mida hii, naona bado hawajaliondoa..
 
"lazima usimame kusaidia watu waliojeruhiwa kwenye ajali,isipokuwa kama unahofia usalama wako iwapo umehusika ktk kusababisha ajali"
Kanuni za barabarani,UK 44.

Adhabu yake ni nini kama nisiposimama?
 
Adhabu yake ni nini kama nisiposimama?

Ni kudhihirisha pasi na shaka ni kwa jinsi gani usivyo na utu, huruma, busara na tajiri wa kiburi, dharau na ujivuni wa kipato.
 
Ni kudhihirisha pasi na shaka ni kwa jinsi gani usivyo na utu, huruma, busara na tajiri wa kiburi, dharau na ujivuni wa kipato.

Naulizia adhabu yake kisheria.

Maana usikute hiyo regulation imewekwa tuu lakini hakuna enforcement action itakayochukuliwa.

Law and morality ni vitu viwili tofauti.
 
Unashangaa hiyo, kuna Abood ilipata ajali juzijuzi ilikuwa inatoka Arusha kwenda Moro. Gari ya kwanza kufika ilikuwa ya naibu waziri lakini dereva wake alipotaka kusimama naibu akamnyooshea ishara ya kuendelea na safari......


Duh!Kumbe ndiyo utaratibu mpya huo siku hizi?
 
Si unajua WARANGI mambo yao huyo dreva aliyekataa kusimama bila shaka ni mrangi,na unajua warangi huwa hawazungumzi na mbwa
 
Back
Top Bottom