EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Kwa maelezo zaidi,wasiliana na kamanda Mpinga.
Ndiye custodian wa hiyo sheria?
Kwa maelezo zaidi,wasiliana na kamanda Mpinga.
Halafu akifika bungeni mbele ya kipaza sauti anakuwa wa kwanza kuonyesha masikitiko na kusema napenda kutoa pole zangu nyingi kwa so and so waliopata ajali katika basi la abood na tunaiomba serikali iweke sheria kali kwa madereva wote wazembe wanaozidi kuangamiza roho za watanzania wasio na hatia, kwa uzembe barabarani.Unashangaa hiyo, kuna Abood ilipata ajali juzijuzi ilikuwa inatoka Arusha kwenda Moro. Gari ya kwanza kufika ilikuwa ya naibu waziri lakini dereva wake alipotaka kusimama naibu akamnyooshea ishara ya kuendelea na safari......