Morxmir Mwasala
Member
- Apr 29, 2013
- 6
- 0
Jamani madereva wana huruma kweli!
Hahahahah! utafikiri wote tuko kwenye safari moja.Mbele ya ubena zomozi, ukitokea Chalinze au Morogoro?Ni mbele ya Ubena Zomozi
Ni mbele ya Chalinze ukiwa unaeleka morogoro (chalinze-morogoro highway)sio kila mtu anajua hiyo sehemu......sema ni mkoa au nchi gani.........
Wewe uko kwenye gari gani? Tutajie namba yake ili hapo Mlandizi lisimamishwe dereva atoe maelezo sababu ya kuipita ajali bila kusaidia.
Poleni sana. Waendesha baiskeli na pikipiki ni mtihani kwa kweli.
Ni kosa kwa dereva kuipita ajali bila kusaidia?
....... na dereva wa gari letu akalipita bila kutoa msaada[/QUOTE]
Hii kitu mimi ndo huwa inanichefua sana, na ninyi abiria mijitu mizima mo ndani mmekaa tuu kisa dereva kagoma kusimama? Badae mnaanza kulalamika nyie wenyewe ooh watanzania tuna roho mbaya, oooh madereva wa siku hizi sio watu n.k. n.k.
Hatujui kuwa Mabadiliko ni mimi, ni wewe ni sisi?
Hebu tuache unafiki, unapoturetea hii habari unataka sisi tufanye nini? kama nyie mmepita hapo na hamjafanya kitu.
Unafiki Mtupu
Mmh watu wengine makatiri!hata hakusimama!]
Katili ni huyo aliyemo ndani ya gari na wala hakumtaka dereva asisimame, halafu anatuletea taarifa ambayo sisi hatuwezi kuifanyia kazi wala kutoa msaada wowote.
Mmh watu wengine makatiri!hata
hakusimama!]
Katili ni huyo aliyemo ndani ya gari na wala hakumtaka dereva asisimame,
halafu anatuletea taarifa ambayo sisi hatuwezi kuifanyia kazi wala
kutoa msaada wowote.
Mmh watu wengine makatiri!hata
hakusimama!]
Katili ni huyo aliyemo ndani ya gari na wala hakumtaka dereva asisimame,
halafu anatuletea taarifa ambayo sisi hatuwezi kuifanyia kazi wala
kutoa msaada wowote.[/QUOTE
Pokea like kama siyo tik for your good comment
Katili ni huyo aliyemo ndani ya gari na wala hakumtaka dereva asisimame, halafu anatuletea taarifa ambayo sisi hatuwezi kuifanyia kazi wala kutoa msaada wowote.
limepinduka au limeanguka
Ni kosa kwa dereva kuipita ajali bila kusaidia?
[/QUOTE=mdeki;6337108]Mmh watu wengine makatiri!hata
hakusimama!]
Katili ni huyo aliyemo ndani ya gari na wala hakumtaka dereva asisimame,
halafu anatuletea taarifa ambayo sisi hatuwezi kuifanyia kazi wala
kutoa msaada wowote.[/QUOTE
Pokea like kama siyo tik for your good comment
Sio kosa...Ni kosa kwa dereva kuipita ajali bila kusaidia?
Duh! Kumbe wabongo tumekuwa wakatili eenh?Yaani huyo dereva wenu amejikausha kabisa kutoa msaada kwa wenzake?