Ajali: Basi kampuni ya Katarama na Libanika (Tanzanite)

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,182
Ajali hii imetokea muda si mrefu kwa magari haya wakati yakishindana.

Chanzo cha ajali ni basi la katarama kutaka kulipita basi la kampuni ya Libanika (Tanzanite) bila tahadhali.

Hakuna taarifa ya vifo Ila ni majeruhi kwa abiria walikatwa katwa na vipo vya basi hizi

Chanzo ni kushindana kwa madereva wa mabasi hayo.
d3531dbf-4b9f-404e-87ee-0956adb59457.jpg
 
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.

Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.

Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
 
Mtu mweusi hawezi kufanya jambo mpaka asimamiwe. Sisi bado sana kuwa watu tuko hatua za minyama ya mwituni. Ni wazungu wakulaumiwa kuturusha hatua za kuelekea kuwa watu.
 
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi. Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.

Madereva wanadaiwa kukimbizana wewe unadai Safari zinazoanza usiku ndio chanzo cha ajali sasaq huoni kuwa mnatuchanganya bila sababu
 
Asante kwa taarifa Mzee wa 'the last destination ' unaripoti majanga tu....
NB: hata ukiripoti mambo yenye furaha bado watu watacomplain usijar,this is Africa.
 
Bado nalalamika na Mungu kwanini aliumba mtu mweusi kiumbe mjinga, mbinafsi anayezidiwa akili na pomboo.
Usikufuru uumbaji Mkuu

Sisi weusi kinachotugharimu ni kukosa Ustaarabu tu, yaani tukifanikiwa kustaarabika mambo mengi yataenda.

Mfano umeenda benki mmepanga foleni, wanasema first in ....first out.

Mungu atusaidie tupate kujitambua
 
Hao abiria wanakuaga wapii had wanashuhudia hizo league uchwara?
Abiria hawa wadanganyika au unazungumzi wepi?
Nakumbuka niliwahi kupiga kelele kukoroma kwenye bus lilikua spidi. Bahati nzuri nikapiga simu kwa wahusika bus likasimamishwa. Aisee niliungwa mkono na watu sijui wawili. Wengine wakaanza kunishambulia na kabila langu. Wengine wakaniambia ningetumia gari yangu binafsi.
 
Usikufuru uumbaji Mkuu

Sisi weusi kinachotugharimu ni kukosa Ustaarabu tu, yaani tukifanikiwa kustaarabika mambo mengi yataenda.

Mfano umeenda benki mmepanga foleni, wanasema first in ....first out.

Mungu atusaidie tupate kujitambua
Inatia hasira sana aisee.
Mungu ashanisamehe.
 
Back
Top Bottom