EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Kweli kabisa ila nina uhakika we ni kondakta tu unayesimama kwenye mlango wa basi 🤣🤣🤣Baba ako hta baiskel hana
Kweli kabisa ila nina uhakika we ni kondakta tu unayesimama kwenye mlango wa basi 🤣🤣🤣Baba ako hta baiskel hana
Katarama juzi imenipita Niko na gari ndogo tungekua viburi na binamu zangu mda huu mngeweka tanzia reymage hatunae Tena,kagongwa na katarama Ile gari inapaaa Jamani...Hao abiria wanakuaga wapii had wanashuhudia hizo league uchwara?
Kheeeh mlongo hebu sema kwelii??Katarama juzi imenipita Niko na gari ndogo tungekua viburi na binamu zangu mda huu mngeweka tanzia reymage hatunae Tena,kagongwa na katarama Ile gari inapaaa Jamani...
Mmeshuhudia maeneo ya chamwino anaovateki kama Yuko njia nane vile....
Sio Siri Ile gari nuksi...yaani tulipaki kwanza pembeni kuvuta pumzi a
Wabongo wengi tuwajingaAbiria hawa wadanganyika au unazungumzi wepi?
Nakumbuka niliwahi kupiga kelele kukoroma kwenye bus lilikua spidi. Bahati nzuri nikapiga simu kwa wahusika bus likasimamishwa. Aisee niliungwa mkono na watu sijui wawili. Wengine wakaanza kunishambulia na kabila langu. Wengine wakaniambia ningetumia gari yangu binafsi.
Serious katarama siku wakipata ajali kubwa it will massive tragedy wengi watapoteza maisha gari inapaa yaani Inakuja kama nyumbu mwanzo mwishooo....ni balaa tupuKheeeh mlongo hebu sema kwelii??
Shabiby ana Sheria Kali ,ukipigwa fine unalipaa dereva tajiri hahusiki Niko Dom Mwaka wa tatu sijawahi skia ajali,nikisafiri shabiby ndo first priority then BMNIseme tu huyu bwana anaitwa SHABIBY nimependa sana discipline, consistency na Smartness yake kwenye biashara ya Mabasi.
Basi hatariii sanaaa.Serious katarama siku wakipata ajali kubwa it will massive tragedy wengi watapoteza maisha gari inapaa yaani Inakuja kama nyumbu mwanzo mwishooo....ni balaa tupu
Ile ukiona ACHA ipite anakuvaaa tu
Jamaa ndo kitengo alichochaguaNi yuleyule?😕😕 ripota wetu wa NF?
!! Baada ya new force kufungiwa, tuone report zake nyingine sasa 
Sawa Shabiby tumekusikiaNIseme tu huyu bwana anaitwa SHABIBY nimependa sana discipline, consistency na Smartness yake kwenye biashara ya Mabasi.
Acha kabisa ni nomaaaBasi hatariii sanaaa.
Tatizo la ajali usiku halisababishwi na usiku bali akili zetu wenyewe.Madereva wa mabasi ya abiria kuna ujinga wanaouendekeza ndo sababu ya ajali.Yusifiche mapungufu yetu kwa kuyakimbia.Mwisho wa siku tutakua tuko nyuma ya wakati wakati dunia inakimbia.Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Hivi abiria wao hawawambii? Au hawaoni huo mwendo hatarishi?Acha kabisa ni nomaaa
Muda mwingine abiria wanapenda na kufurahia mwendo mkaliHivi abiria wao hawawambii? Au hawaoni huo mwendo hatarishi?
Hili bus alfajiri ya leo lilitaka kusababisha ajali mbaya sana eneo la Mwendapole KibahaAjali hii imetokea muda si mrefu kwa magari haya wakati yakishindana.
Chanzo cha ajali ni basi la katarama kutaka kulipita basi la kampuni ya Libanika (Tanzanite) bila tahadhali.
Hakuna taarifa ya vifo Ila ni majeruhi kwa abiria walikatwa katwa na vipo vya basi hizi
Chanzo ni kushindana kwa madereva wa mabasi hayo.
View attachment 2678460
Wako kwenye pay roll ya wamiliki wa mabusVyeo vya RTO vifutwe.
Kazi zao hazionekani barabarani