mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,064
- 132,518
Usalama kwanza unaanzia na weweHiki kitengo cha polisi kinachosimamia barabara kibinafsishwe tu kwa North Korea.
Ova
Usalama kwanza unaanzia na weweHiki kitengo cha polisi kinachosimamia barabara kibinafsishwe tu kwa North Korea.
kwanini vifutwe??Vyeo vya RTO vifutwe.
Kazi zao hazionekani barabarani
North Korea mbali sana mkuu wapewe Wajeda kwa kipindi cha mpito miezi sita tu ajali itabaki stori afande Fortunatus Musilim alijitahidi sana kupambana na madereva vichwamajiHiki kitengo cha polisi kinachosimamia barabara kibinafsishwe tu kwa North Korea.
Unaweza ukathibitisha??Wanunuaji wa tochi hao
Wanaratibu faini...Vyeo vya RTO vifutwe.
Kazi zao hazionekani barabarani
Ni kweli Mkuu, ila wenzako si wataku mind 😅Kuna mzee wangu tulikua tunabishana. Kuna kazi nilikua tunakua na wageni wa kizungu sasa yeye anataka tuwadanganye tufiche aibu za mambo yetu ya kitanzania. Mimi sikua nataka huo ujinga. Nilikua nawachana facts sipindishi. Wakiniuliza nasema ukweli wa mambo.
Suluhu namba moja ya tatizo ni kuliweka wazi tatizo na sio kulifichaficha.
panda hilo gari ,uone kama Kuna mtu atazungumzia eneo hili Pana 50Unaweza ukathibitisha??
Kwani ajali hii imetokea usiku?Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Uendeshaji wa kitoto, wapokonywe leseniAjali hii imetokea muda si mrefu kwa magari haya wakati yakishindana.
Chanzo cha ajali ni basi la katarama kutaka kulipita basi la kampuni ya Libanika (Tanzanite) bila tahadhali.
Hakuna taarifa ya vifo Ila ni majeruhi kwa abiria walikatwa katwa na vipo vya basi hizi
Chanzo ni kushindana kwa madereva wa mabasi hayo.
View attachment 2678460
Acha uoga dogompaka naogopa kurudi arusha😂 nabaki huku huku nisife
Labda ni mpango wa siri wa mamlaka kushusha idadi isizidi Mil 60Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
ms*nge unazani kufa rahaAcha uoga dogo
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Wewe huwa unasuburi kuripoti ajali tu?
Ni yuleyule?😕😕 ripota wetu wa NF?
Kwani ulishakufa ukajua ladha ya kifo?ms*nge unazani kufa raha
Asante kwa taarifa Mzee wa 'the last destination ' unaripoti majanga tu....
NB: hata ukiripoti mambo yenye furaha bado watu watacomplain usijar,this is Africa.