peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,029
- 26,235
Hilo nalo NENO
Hilo nalo NENO
Aisee, usifike huko japo ni kweli kabisa inaudhi mno.Bado nalalamika na Mungu kwanini aliumba mtu mweusi kiumbe mjinga, mbinafsi anayezidiwa akili na pomboo.
Daah jamaa anajua sana aiseeShabiby ana Sheria Kali ,ukipigwa fine unalipaa dereva tajiri hahusiki Niko Dom Mwaka wa tatu sijawahi skia ajali,nikisafiri shabiby ndo first priority then BM
Hawa wapuuzi watakuwa walikuwa wanafukizana, Katarama, Ally's, Newforce sio Mabasi ya kupandaAjali hii imetokea muda si mrefu kwa magari haya wakati yakishindana.
Chanzo cha ajali ni basi la katarama kutaka kulipita basi la kampuni ya Libanika (Tanzanite) bila tahadhali.
Hakuna taarifa ya vifo Ila ni majeruhi kwa abiria walikatwa katwa na vipo vya basi hizi
Chanzo ni kushindana kwa madereva wa mabasi hayo.
View attachment 2678460
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Masharti ya mganga itakuwa... hahahaWewe huwa unasuburi kuripoti ajali tu?
Labda kwa miaka hii.Ila alishawahi kuua watu 36 milima ya Lukumburu(Njombe-Songea).Ni kumbukumbu mbaya sana kule kusini.NIseme tu huyu bwana anaitwa SHABIBY nimependa sana discipline, consistency na Smartness yake kwenye biashara ya Mabasi.
Soma tena na utaelewa chanzo cha ajali ni nini!!??Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
"Blacks are born with an a half-mad mindsets and self esteem".Bado nalalamika na Mungu kwanini aliumba mtu mweusi kiumbe mjinga, mbinafsi anayezidiwa akili na pomboo.

