Pole MkuuInatia hasira sana aisee.
Mungu ashanisamehe.
Wanashangilia mchuano mkali...😂😂😂Hao abiria wanakuaga wapii had wanashuhudia hizo league uchwara?
Abiria ni wajng namba mojaAbiria hawa wadanganyika au unazungumzi wepi?
Nakumbuka niliwahi kupiga kelele kukoroma kwenye bus lilikua spidi. Bahati nzuri nikapiga simu kwa wahusika bus likasimamishwa. Aisee niliungwa mkono na watu sijui wawili. Wengine wakaanza kunishambulia na kabila langu. Wengine wakaniambia ningetumia gari yangu binafsi.
Wanashangilia mchuano mkali...![]()



basi wanahitaji kupata hiyo stahiki yao.Kuna mzee wangu tulikua tunabishana. Kuna kazi nilikua tunakua na wageni wa kizungu sasa yeye anataka tuwadanganye tufiche aibu za mambo yetu ya kitanzania. Mimi sikua nataka huo ujinga. Nilikua nawachana facts sipindishi. Wakiniuliza nasema ukweli wa mambo.Pole Mkuu
Kuna rafiki yangu Mzungu, alipata shida sana kuzoea mambo yetu ya Kiswahili. Lakini baada ya kuishi miaka 3 hatimaye akazoea.
Ustaarabu ni tatizo kubwa mno
Unaweza kuta mmepanga foleni kwenye Bufee kwaajili ya chakula. Kwa kukosa Ustaarabu wale wa kwanza kwanza basi atataka nyama zote wabebe wao.
Utasema amekuja na njaa ya miezi 3
Hili basi linaanza safari zake asubuhi ya saa 12 maana leseni ya kusafiri saa 9 walitolewa, hivyo ajali siyo usiku tu hata mchana, asubuhi, Jioni...Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
I understand you frustration ndugu yangu. Hata mimi huwa najiuliza hivyo hivyo na imefikia wakati naamini kuwa kwenye stages za evolution sisi ngozi nyeusi bado tuko stage moja nyuma ya wazungu.Kuna mzee wangu tulikua tunabishana. Kuna kazi nilikua tunakua na wageni wa kizungu sasa yeye anataka tuwadanganye tufiche aibu za mambo yetu ya kitanzania. Mimi sikua nataka huo ujinga. Nilikua nawachana facts sipindishi. Wakiniuliza nasema ukweli wa mambo.
Suluhu namba moja ya tatizo ni kuliweka wazi tatizo na sio kulifichaficha.
Soma ID yake anaitwa "wakukurupuka"Ulivyoripoti utadhani ni ajali kubwaaa, kumbe mabasi yamepigana pasi tu pengine kutokana na ufinyu wa barabara au barabara kuwa na mabondebonde...
mpaka naogopa kurudi arusha😂 nabaki huku huku nisifeHao abiria wanakuaga wapii had wanashuhudia hizo league uchwara?
mpaka naogopa kurudi arushanabaki huku huku nisife



rudii kwenuu weyee.'huu unazi ni wa ajabu sana'. Ukiwa kwenye magroup ya wanazi. Kuna post zinatembea mule za 'list ya muda wa mabus kufika kituo fulani'. Unazi ni shida.Wanazi wanachangia matatizo.. Dereva hasifiwi