Basi kampuni ya Phoenix lasababisha ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Basi hilo kampuni ya Phoenix linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Mwanza limesababisha ajali wakati likijaribu kulipita gari dogo (Vanguard) bila ya tahadhari.

Ajali iyo imetokea usiku wa jana maeneo ya Maseyu ikihusisha basi hilo lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Dar.

Hakuna madhara yoyote kwa abiria zaidi ya majeruhi kwenye gari ndogo na uharibifu wa gari hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom