- Thread starter
- #21
Yani hapa mkoani kahama kiufupi madereva wengi wanajifunzia humu humu hakuna bajaji,pikipiki,gari na vyombo vingine.
nilichoka yani mtu unavuka barabara na anakuona ila ndio kwanza anaongeza mwendo .
mfano wa pili hapa kahama watu hawafahamu sheria hata kidogo na hakuna ukaguzi makini ili mradi maisha yana songa.
Haya yote naona unakazia kwenye ule ubora wetu - ujinga!
Tuwakatae waendesha vyombo vya moto wasiokuwa na minimum basic education.
Hatutaki ajali zao zenye kutugharimu sisi maisha.