Fresh tu nafua naanika namswafi vizuri ananipa mambo![]()
![]()
![]()
![]()
maisha yana changamoto nyingi na hilo jasho ya kwenye mapumbu duuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafi haubadili jinsia. Tena wanawake wengi mnahangaika na uso mnasahau sehem muhm za kufanya usafi.Mwanamke usafi ni lazima sio hiyari lkn mwanaume asafishwe na manzi wake
Mwanaume msafi ileile simtaki manake wote tutakuwa wanawake sijui nimeeleweka!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tena ulivyosmart unazo guniaMimi nitakuja nazo begi zima kabisa, nimechoka maneno yenu![]()
![]()
![]()
![]()
Eeeeeeh babu weee kama wewe ni mwanaume msafi pita kushotoUsafi haubadili jinsia. Tena wanawake wengi mnahangaika na uso mnasahau sehem muhm za kufanya usafi.
Kuna tofauti kubwa Kati ya mtu msafi na bishoo huyo sio msafi Bali ni bishooFresh tu nafua naanika namswafi vizuri ananipa mambo
Kuna jamaa yeye ni msafi mno(mwanaume) sasa basi akienda kupiga mechi na demu anakuwa na taulo lake kalitoboa kati kupitishia dudu lake .....hiyo yote kisa tu maji ya demu husika yasimguse mwilini kwake
Huo ufala ndo siutaki wanaume wengi wasafi huwa na masharti ya kunya kunya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena jukwaani
Wanaume wasafi utawajua tu komaeni na usafi wenu tufanane tuKuna tofauti kubwa Kati ya mtu msafi na bishoo huyo sio msafi Bali ni bishoo
Hakuna binadam anapenda uchafu ukiondoa changamoto za maisha
Hili la kuvaa boxer wiki siliungi mkono kabsa kwa sababu halina mashiko kwenye mtimdio wa ubongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua........

Napta kimya kimya. Kama sifa ya kupendwa ni uchafu acha nisipendwe. Unavaa nguo ya ndani inakuwa kama ngozi.
Napta kimya kimya. Kama sifa ya kuoendwa ni uchafu acha nisipendwe. Unavaa nguo ya ndani inakuwa kama ngozi.
Kiukwel kwa upande wangu siwez kumpenda mwanamke mchafu hata Bure kwanza hakupi uhuru kitandani sasa sijui kwa upande wa pili nyie
Hatuelewani wapi sijuiKiukwel kwa upande wangu siwez kumpenda mwanamke mchafu hata Bure kwanza hakupi uhuru kitandani sasa sijui kwa upande wa pili nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kwamba utaacha kutumia smartphone?
Respect sana kwake,hata Mimi hiyo mimaji maji hua unanchefua mno,ntaiga style yake ya kitauloFresh tu nafua naanika namswafi vizuri ananipa mambo
Kuna jamaa yeye ni msafi mno(mwanaume) sasa basi akienda kupiga mechi na demu anakuwa na taulo lake kalitoboa kati kupitishia dudu lake .....hiyo yote kisa tu maji ya demu husika yasimguse mwilini kwake
Huo ufala ndo siutaki wanaume wengi wasafi huwa na masharti ya kunya kunya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo nimekuwa mvumilivu kwa muda wa miezi kadhaa sasaIna maana kwamba utaacha kutumia smartphone?
Kama utaendelea kuitumia basi utakuwa mvumilivu sana