Kuna watu wana akili mbuzi sana,yani inaonekana sifa na sio uchafu,dahUnaona sifa kabisa kuvaa boxer wiki nzima!!!! Nyie ndo mnawapa tabu watu kwenye publics. Halafu unajisifu kabisa na kuna watu wanakuchekea! Shenzz type
Sent using Jamii Forums mobile app
We nini banah....kila mtu na maisha yake. Mind ur business. We kama unavaa kila sku boxer ni wewe.Unaona sifa kabisa kuvaa boxer wiki nzima!!!! Nyie ndo mnawapa tabu watu kwenye publics. Halafu unajisifu kabisa na kuna watu wanakuchekea! Shenzz type
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi,mimi hata nkiwa na mgeni wa kikenguo zake za ndani mimi hazinihusu, na sjwez kabisa kuacha kazi zangu nihesabu anazo ngapi au kaja nazo ngapi haiko sawa napata gagaziko kwa mwanaume kufanya hivoUmeniwahi madame
Upuuuzi mtupu yaan!Kuna watu wana akili mbuzi sana,yani inaonekana sifa na sio uchafu,dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mijanaume hasa ya mjini dsm, likifua boksa zinajaa kamba tatu sasa unajiuliza hili hili-lijamaa linableed ama..!Hahahha duh hii kweli mkuu,kumbe tuko wengi khaa..!!
Mengine yanafurahishaBibi,mimi hata nkiwa na mgeni wa kikenguo zake za ndani mimi hazinihusu, na sjwez kabisa kuacha kazi zangu nihesabu anazo ngapi au kaja nazo ngapi haiko sawa napata gagaziko kwa mwanaume kufanya hivo
Wewe kama unableed hongera zako, mwenzio ata nikae nayo mwezi tukifua yako ya siku moja itaonekana ni yangu ya mwezi.Unaona sifa kabisa kuvaa boxer wiki nzima!!!! Nyie ndo mnawapa tabu watu kwenye publics. Halafu unajisifu kabisa na kuna watu wanakuchekea! Shenzz type
Sent using Jamii Forums mobile app
WallahMengine yanafurahisha

Boya kweli wewe. Nawe kabisa unatongoza demu halafu unaenda kula mzigo!!? Ninyi ndo mnatuaibisha wanaume wote tunaonekana wachafu. Kweli dada zetu wavumilivu sana aisee! Boxer inavaliwa wiki!!!? Ukikaa karibu na mimi sehemu wewe nakukata vibao kabisa.Wewe kama unableed hongera zako, mwenzio ata nikae nayo mwezi tukifua yako ya siku moja itaonekana ni yangu ya mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamba tatu???? aisee mkuu hii chumvi uliozidisha ni ile ya neel ama?Kuna mijanaume hasa ya mjini dsm, likifua boksa zinajaa kamba tatu sasa unajiuliza hili hili-lijamaa linableed ama..!
Sent using Jamii Forums mobile app