Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Binafsi sikumbuki lini nilivaa chupi, boksa zenyewe ninazo 3 tu, kila moja invaliwa one wiki kabla ya kufuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ile wanaita mgumu.... Mbutanangaa
Binafsi sikumbuki lini nilivaa chupi, boksa zenyewe ninazo 3 tu, kila moja invaliwa one wiki kabla ya kufuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanaume wa Dar...tehteehh


karibuni Dar mufute ujinga mazwazwa nyinyi.Sio kitu cha kujisifia!Binafsi sikumbuki lini nilivaa chupi, boksa zenyewe ninazo 3 tu, kila moja invaliwa one wiki kabla ya kufuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitukosee adabu wanaume wa Daslamu hatuvai chupi, tunavaa boxer au pensi tena as heshima, chupi anavaa mwanamke, msenge kweli yaani.Hivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?
Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?
Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
So wewe unajisifia kuwa na chupi 100, mnyuuuuhSio kitu cha kujisifia!
- KANA -
Msemaji wa Wanaume wa Dar (MWADAR )Kama alizinunulia hapo njiani unajuaje?? Ukaenda kabisa kabisa kuzihesabu?? Ilikuwaje?? Kama alizianika huenda anatumiaga kwa muda ndo afue na siku anaondoka ndo ilikuwa ya kufua
Kwa sehem yangu niliachaga kitambo kabisa
Kuna jamaa hapo linajisifia kuvaa boxer moja wiki nzima.Tupumzishieni wanaume wetu. Kwanza nani anavaa chupi jamani na boxer zote hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchafu tu. Hao ndo wanaonukaga mbupu..Kuna jamaa hapo linajisifia kuvaa boxer moja wiki nzima.
PATHETIC!
- KANA -
Tukienda huko mikoani kwao wanapanga foleni kuanzia dada zao, wake zao mpaka shangazi zao sababu ya usafi!