Aja na chupi nane

Aja na chupi nane

Boya kweli wewe. Nawe kabisa unatongoza demu halafu unaenda kula mzigo!!? Ninyi ndo mnatuaibisha wanaume wote tunaonekana wachafu. Kweli dada zetu wavumilivu sana aisee! Boxer inavaliwa wiki!!!? Ukikaa karibu na mimi sehemu wewe nakukata vibao kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kubadilisha kila siku unacho tafta utapata na si bure wenda utakua unavuja au fistura
Muone dr mKuu😀😀😀😀😀😀
 
Meta mada wewe ni certified auditor wa vyupi au?!imekuwaje ugundue yote hayo
 
Hivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?

Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?

Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
hakuna mwanaume wa dar anaevaa chupi huyo ni wa kwenu huko mkoani
 
Leo mimi nawatetea wanaume wa dar
Mwanaume kamili unakuaje na boxer moja ? Kila siku hiyo hiyo!!!
Unatakiwa uwe nazo hata 10 ili kufua mpaka utasahau na kila siku unabadirisha
Ukifanya hivo utatumia boxer hata miaka 2 afu bado inakua na hari nzuri
Wanaume wa mikoani kununua boxer mpaka ile uliyonayo itoboke toboke ipaukeee wakati boxer elfu 4 au tano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom