Aja na chupi nane

Aja na chupi nane

Wanaume wa dar ni wanawake kitabia ila kimaumbo ni wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?

Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?

Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
Labda walishaharibu malinda anahara mara akijisikia kutoa ushuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee naona mmeshashiba maboga sasa
 
usijali ni za biashara hizo anaenda kuuza chato kwao.
 
Back
Top Bottom