Aja na chupi nane

Aja na chupi nane

Hivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?

Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?

Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
Hakuna wanaume wa dar wote ni wa mikoani wenyeji washakimbilia msanga,halafu hao wanaume wa dar wakija mikoani wake zenu na mabinti zenu wanagongwa tigo sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi ni bora mwanaume mchafu ntamsafisha na kufanya mimi awe msafi

Kuliko mwanaume msafi

Simtaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama utamsafisha ili awe msafi mbona unapnga usafi. Usafi ndo kla kitu. Me mwanamke akvaa chupi nyeusi, nyekundu, brown nazchoma moto. Mtu nje msafi ndan sasa utadhani anaishi jangwani.
 
Sasa kama utamsafisha ili awe msafi mbona unapnga usafi. Usafi ndo kla kitu. Me mwanamke akvaa chupi nyeusi, nyekundu, brown nazchoma moto. Mtu nje msafi ndan sasa utadhani anaishi jangwani.
Mwanamke usafi ni lazima sio hiyari lkn mwanaume asafishwe na manzi wake

Mwanaume msafi ileile simtaki manake wote tutakuwa wanawake sijui nimeeleweka!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom