Aisee sio kwa vichwa vya ng'ombe hivi

Kenya wana wivu wa Kike.
Kila cha Tz wao ni kukodoa macho tuu..wasochoweza kuiba wanabaki kupiga domo tuu.
Weka picha ya kwenu tuone
 
Kenya wana wivu wa Kike.
Kila cha Tz wao ni kukodoa macho tuu..wasochoweza kuiba wanabaki kupiga domo tuu.
Weka picha ya kwenu tuone
tukubali tu tanzania raundi hii tumepigwa black and blue. jirani zetu wakenya watatucheka saana sijui tutaficha wapi nyuso zetu. ni aibu sana hata kumeza mate nimeshindwa
 
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
👇 👇 👇

View attachment 1849426
p054k4nx-300x300.jpg

😂😂😂😂
 
Wewe ni mtumwa wa fikra, hadi leo mnatutia aibu Waafrika, maana juzijuzi mlimpokea Yesu, mkaenda kumpigia na magoti. Kisa tu Ni mzungu.
View attachment 1849494

View attachment 1849491
Only in Kenya....hawa ndugu zetu sijuwi wanaona nini kwa mzungu...yaani anaweza kujitokeza Mzungu yeyote na kuwadanganya yeye ni Mungu, basi wakenya wote watam-follow bila hata kujiuliza. Look at their judges for example, eti mpaka leo 2021 wanavaa Wigs za "White Man hair." Hivi, in Kenya one cannot become a judge mpaka avae wigs za Mzungu showing White supremacy? Very stupid indeed, mnatia aibu.
 
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili

View attachment 1849426
Linganisha na ile tukutuku yenu sasa
 
Wenzenu wanatokwa na mapovu huku
huyu dogo anatakiwa arudi shule manake shule za secondary wamefungua, sasa chagua wewe tuchukue vichwa vya chatu au vya ng'ombe?
 
Back
Top Bottom