stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,043
- 27,869
Sijakusoma vizuri mkuu,hayo ni manukato yanayotengenezwa Zanzibar,au yanatoka nchi za nje lakini yamekufikia wewe kupitia Zanzibar...?Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣
Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊
Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣
Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣