Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣

Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊

Kitu kikapanda nden
ge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣

Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwaga pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Mkuu Manukato kutoka Zanzibar au Uarabuni?
 
Back
Top Bottom