SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,366
- 10,256
Kapigwa ban haji ananichokozaga halafu anatoroka hajibAisee utamuua huyu mtu, 🤣🤣
Kapigwa ban haji ananichokozaga halafu anatoroka hajibAisee utamuua huyu mtu, 🤣🤣
Hahaha Pole wewe sio type yangu ila nakupenda kama rafiki tu😅Linda mgongo wako hawa vipingili vimiguu vimekomaa kama chuma za reli na vitumbo vimeenda ndani kama wanao utapia mlo watu warefu hata english figure hawana tokea juu mpaka chini hawana figure yakisichana .
Halafu wanasura kama ya shangazi yao tulia tu na huyo mweupe sasa eti unamsifiaga toto lakiarabu na huku lakichagga limepigwa pasi haijulikani kiuno kipo wapi na tumbo
Sasa nani kasema nakupenda kama mpenzi walahi mimi nakupenda kama rafiki yangu pia walahi sikudanganyi .Hahaha Pole wewe sio type yangu ila nakupenda kama rafiki tu😅