Ko mwanetu unanukia..!!?Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣
Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊
Kitu kikapanda nden
ge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣
Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwaga pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
So ndiooo 😀😎Huku zinanyongwa 😅
Good mangi!Nitakununulia kiroho safi😅
Mzichape apatikane bingwa 😹Haha kwamba lamo inakuaje hapo🤣🤣🤣🤣
Linda mgongo wako hawa vipingili vimiguu vimekomaa kama chuma za reli na vitumbo vimeenda ndani kama wanao utapia mlo watu warefu hata english figure hawana tokea juu mpaka chini hawana figure yakisichana .Mgongo naulinda kwa kuzaa mabinti wazuri na sio wenye vitambi uchwa kama wewe
Aisee utamuua huyu mtu, 🤣🤣Linda mgongo wako hawa vipingili vimiguu vimekomaa kama chuma za reli na vitumbo vimeenda ndani kama wanao utapia mlo watu warefu hata english figure hawana tokea juu mpaka chini hawana figure yakisichana .
Halafu wanasura kama ya shangazi yao tulia tu na huyo mweupe sasa eti unamsifiaga toto lakiarabu na huku lakichagga limepigwa pasi haijulikani kiuno kipo wapi na tumbo
Chupa limeamka na chai sasa 😹😹Linda mgongo wako hawa vipingili vimiguu vimekomaa kama chuma za reli na vitumbo vimeenda ndani kama wanao utapia mlo watu warefu hata english figure hawana tokea juu mpaka chini hawana figure yakisichana .
Halafu wanasura kama ya shangazi yao tulia tu na huyo mweupe sasa eti unamsifiaga toto lakiarabu na huku lakichagga limepigwa pasi haijulikani kiuno kipo wapi na tumbo
😹😹😹 Kweli umeishiwa kama hii ndo silaha yako unayoitegemea kwa min, vita ishakushinda paki bus..!!Aisee utamuua huyu mtu, 🤣🤣
Huyo wananijua kabisa huwa a nakimbia mwenyewe😹😹😹 Kweli umeishiwa kama hii ndo silaha yako unayoitegemea kwa min, vita ishakushinda paki bus..!!
Bwashee si una pesa mingi sasa kwanini uchemke?Yeah binti mzuri kuna pombe moja mpaka laki 7 bila kupima unachemka