Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Hii idea ya mimi kuwa wa kishua mnaitoa wapi wazee? 😁
It's how you carry yourself in here...

Kingine ukiona demu anabet jua pesa kwake is just for fun
 
Kwahiyo ukaona ukitaja jina la huo mgahawa, Wazee tutakuja kumaliza chakula eeh 😅

Kuwa makini buddy, binti anataka apate mdau wa kumwongezea mtaji kwenye mgahawa wake, usikute amenusa hicho kibunda unacho wewe 🤪
Basi na mm naenda kwaajili ya mzigo aliobeba napiga then tu angalia tunasaidanje wote as long as nikipeenda burudani yake
 
Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...

Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..

Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
IMG-20260725-WA0001.jpg

Bei yake sio kubwa sana @10,000

😁
 
Back
Top Bottom